Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Kuna viumbe vipo so complicated kuliko binadamu so na huenda wao ni more special kuliko binadamu
Vitaje hivyo viumbe. Halafu unaposema "viumbe" unajua kwamba unazungumzia uumbaji?
... matter of fact ni kwamba huenda pia binadamu ndio kiumbe dhaifu kuliko viumbe vyengine bt how would you know? You can't coz your so dumb kuona wewe upo complicated na special kuliko viumbe vyengine
Thibitisha udhaifu wa binadamu!!
 
Ndio hapa sisi wengine tunaamini kuwa kuna nguvu kuu kuliko zote, tunasema yeye ndio chanzo cha sisi kuwa na utashi wote huu.
Nguvu hiyo ilitufanya wote tukawa na hisia na akili, Ikatufanya kwa pamoja tujue hili ni baya hili ni zuri

Unapotendewa jambo lenye kuumiza hisia zako, Akili inatambua hili jambo ni baya au ovu.
 
Baridi ipo ila haionekani!

Upepo upo ila hauoneoani!

Inasemwa; fulani ana akili! Lakini haionekani!

Upendo (love) upo lakini hauonekani!

Athari/matokeo ya hivyo ndivyo vinavyothibitisha uwepo wa hivyo!
Ili kitu ki-exist na kithibitike kama kipo within our reach kinapimwa na milango yetu ya fahamu, nje ya hapo hauwezi kuthibitisha condition wala jambo lolote without those 5 senses

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana nyingine nje ya uwezo huo tulionao, hatuna uwezo wa kuthibitisha jambo jingine lolote lile.

Pia swali linakuja kuwa hiyo milango ya fahamu kwa binadamu chanzo chake ni nini??

Ilibuniwa ama ipo tu bila ya sababu ya kuwepo kwake!!?
 
Vitaje hivyo viumbe. Halafu unaposema "viumbe" unajua kwamba unazungumzia uumbaji?

Thibitisha udhaifu wa binadamu!!

Plenty of studies zinaonesha kwamba kuna baadhi ya wanyama na ndege wana sense major changes in the weather.
Ndege wapo sensitive na air pressure change, hivyo kabla ya big hurricane ndege wanahama mapema kwenye makazi hayo kabla ya tukio kutokea.. This is so much interesting

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idadi ya watu duniani inaongezeka kadri muda unavyozidi kwenda, Kwa maana hiyo ilianza na 1 mpaka hapa tulipofikia...Nini unachofahamu kuhusu binadamu huyo wa kwanza kuhusu chanzo chake ?
Sifahamu chochote kuhusu chanzo chake.

Kama una kifahamu tueleze.

Si lazima binadamu wa kwanza awe na chanzo.
 
Kwa maana nyingine nje ya uwezo huo tulionao, hatuna uwezo wa kuthibitisha jambo jingine lolote lile.

Pia swali linakuja kuwa hiyo milango ya fahamu kwa binadamu chanzo chake ni nini??

Ilibuniwa ama ipo tu bila ya sababu ya kuwepo kwake!!?
I know shit about myself how the hell would I know kuhusu chanzo cha milango ya fahamu? ... Milango ya fahamu ipo ili binadamu na wanyama waweze ku-survive coz i know for the fact without them we're doomed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.

Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.

Na haileweki imekuwaje binadamu kuna mambo anayoyaita mema na mengine anayaita mabaya.

Hitimisho ni kuwa binadamu ni kiumbe kisichoelezeka.
Sisi tuliosoma History tunajua chanzo chetu ni Jamii ya Manyani (Primates).
 
Back
Top Bottom