Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #141
Yaani wao wamejenga ukuta wasihojiwe kuhusu dhana na nadharia zao, lakini kila wakati wanataka uthibitisho toka kwenye nadharia na dhana wasizoziamini.Kwahiyo nkikupa njia za kufuata ili upate uthibitisho upo tayari ?
Swali la chosen rich hapo chini na wewe linakuhusu pia.Mkuu unge uweka huo ukweli hapa
Kwahiyo nkikupa njia za kufuata ili upate uthibitisho upo tayari ?
Unaambiwa hata aliyeipendekeza hajulikani.. yani ni uchawi-uchawi mtupuNilivoiangalia hii ni KANUNI. Kama ni kanuni ni Lazima iwe na misingi yake.
ULAZIMA kuwa Kila chenye Mwanzo ni Lazima kiwe kina chanzo chake na hicho chanzo kinatakiwa kiwe na chanzo kingine na hali iendele hivyo unatokana na nini?
Hebu elezea kwa kina msingi Wa kanuni hii na uweke ithibati yake.
Hili ndilo tatizo la mijadala ya humu JF. Kuna watu wanatakatifusha Kanuni zao bila ya sababu!!Unaambiwa hata aliyeipendekeza hajulikani.. yani ni uchawi-uchawi mtupu
hakuna nadharia ya kisayansi yenye argument ambayo haina kichwa wala miguu.Hili ndilo tatizo la mijadala ya humu JF. Kuna watu wanatakatifusha Kanuni zao bila ya sababu!!
Ahahahahaha!Ila maswali mnayouliza nyinyi mnataka tuyajibu, Hata sisi tungeweza kuwambia mkasome biblia
Hili ndilo tatizo la mijadala ya humu JF. Kuna watu wanatakatifusha Kanuni zao bila ya sababu!!
Uzuri ni kwamba muda ni mwalimu mzuri sana, Muda utakuja kuamua waamini walichokua hawaamini.Yaani wao wamejenga ukuta wasihojiwe kuhusu dhana na nadharia zao, lakini kila wakati wanataka uthibitisho toka kwenye nadharia na dhana wasizoziamini.
Wewe ni kiumbe mwenye uwezo wa kibinadamu usilazimishe kufahamu yasiyo uwezo wako utachanganikiwa memory yako na ramu gb 4 unataka kichwa Chalo kihifadhi vitu vya gb 1000 hiko ni kichekeshoKanuni hii ni ya kwangu binafsi, Si kwamba ni kanuni ya watu wote.
Kanuni hii ni kutokana na kwamba watu wanaodai Mungu ni chanzo cha ulimwengu hawana UTHIBITISHO wa madai yao.
(Ni mawazo yao ya kufikirika tu)
Watu wengi wana amini Mungu Hana chanzo kwamba alitokea tu, Pia wana amini Mungu huyohuyo hana mwisho.
Watu wengi wameweza kuamini Mungu wasiyemjua Hana chanzo Lakini wana lazimisha kwamba Dunia ina chanzo, Na chanzo hicho wanadai ni "Mungu" Kwamba wana amini Haiwezekani Dunia iwe imetokea tu yenyewe Pasipo chanzo.
Sasa ni hivi[emoji116]
Kama "Haiwezekani" Dunia isiwe na muumbaji, kwamba lazima awepo aliye iumba "Imewezekana" vipi Mungu asiwe na Muumbaji?
Kama Mungu hana mwanzo, Inashindikana vipi kwa Dunia kutokuwa na mwanzo?
Huu ulazima wa kwamba Dunia lazima iwe na chanzo, ila Mungu yeye Hana chanzo uliwekwa na nani?
Hapa sasa ndipo,Kanuni hii inapo tumika kwamba,
Kama ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na chanzo, Basi hata Mungu lazima awe na chanzo. Maana Mungu huyo bado "HAJATHIBITIKA" rasmi kwamba yeye ndio chanzo halisi cha ulimwengu.
( Bado ni mawazo na mafikirio ya watu tu)
Sasa kama bado Mungu HAJATHIBITIKA kuwa chanzo halisi cha Dunia, Hakuna ulazima wa kwamba Dunia imeumbwa na ina mwanzo.
Ila mtu akianza kuweka ulazima wa kwamba Dunia lazima iwe imeumbwa, Lazima athibitishe kwamba chanzo cha Dunia hakina mwanzo.
Na aeleze na kuthibitisha chanzo hicho cha Dunia, kimewezaje kuwepo bila chanzo kingine.
Unajuaje kwamba kuna uwezo mwingine tofauti na huu wa kibinadamu?Wewe ni kiumbe mwenye uwezo wa kibinadamu usilazimishe kufahamu yasiyo uwezo wako utachanganikiwa memory yako na ramu gb 4 unataka kichwa Chalo kihifadhi vitu vya gb 1000 hiko ni kichekesho
Authibitishe kwa kutumia mbinu ipi utakayoikubali??Unajuaje kwamba kuna uwezo mwingine tofauti na huu wa kibinadamu?
Uthibitishe huo "uwezo mwingine" ulio zaidi na uwezo wa mwanadamu.
Kwa nini hakijulikani na ni nini kinakufanya uone chanzo hakijulikani?Hata mbuzi bata etc ni hivyo hivyo tuu chanzo cha wao kuwepo hakijulikani
Mwanadamu ni mnyama sawa tu na wanyama wengine. Tena ukimlinganisha na miamba mingine iliyoko huko porini kimaumbile ni kiumbe dhaifu sana! Hebu fikiria umpambanishe Homo Sapiens kimaumbile na dubu au mfalme wa pori mwenyewe!Nikiangalia maumbile ya binadamu na jinsi anavyoishi kwenye hii dunia, najiuliza imekuwaje amekuwa alivyo na jinsi hakuna kiumbe kingine kinachofanana na Binadamu kiutendaji wake.
Ukiangalia Kwa mfano, hivi kweli hakuna mbunifu wa binadamu ambaye ndiye aliyebuni uke ukae kwa mfumo ambao unaweza kuingiliwa na uume.
Hakuna mbunifu aliyebuni mji wa uzazi Kwa mwanamke na kuweka mbegu Kwa mwanaume? Kisha ukifanyika uingilianaji mimba inatungwa.
Baada ya binadamu kuzaliwa ukiangalia kwa makini unaanza kujiuliza, hakuna kweli mbunifu aliyejua kuwa binadamu Ili aishi atahitaji kula hivyo akamuumba akiwa na mdomo?
Mfumo wa kula mpaka kupata haja hakuna mbunifu wake kweli? Yaani mfumo wa mmeng'enyo wa chakula upo tu Wala haukukusudiwa kuwepo ila upo tu. Kweli?
Fikiria macho, masikio, ngozi, na viungo vingine vya binadamu vinavyofanya kazi. Waza kuwa hapa unaposoma hii mada macho, masikio yako yaache kufanya kazi itakuwaje?
Bado nawaza imekuwaje binadamu hana Mwanzo Wala mwisho??
Ukiangalia maisha ya kenge na kuku unaweza kuuliza hili swali kweli???(What's so special about homo-sapiens) ?
Kama umenisoma vizuri, ninachopinga ni wewe kumuona binadamu kuwa ni kiumbe wa pekee sana tofauti na wanyama wengine. Ndicho nilichokuwa najaribu kufafanua kwa kuelezea sifa mojawapo kuu inayompambanua na viumbe wengine.Shimba ya Buyenze umetoa maelezo mazuri sana Lakini hujajibu swali la Msingi. Nini chanzo cha binadamu?
Watu kama kina Infropreneur Wanasema hata nadharia za wanasayansi kuhusu uasili na chanzo cha uwepo wa binadamu hazina majibu ni nini hasa chanzo cha binadamu.
Kwa ivo leo hii nyani wakianza kula nyama nao pia ubongo wao utakua na kuanza kuwa kama binadamu??
Swali lake ni valid sana kwa sababu wote ni viumbe na kama unaamini katika sayansi, wote wametokana na kitu kile kile; na wamekuja kutofautiana huku mbele ya safari. Kama unauliza chanzo cha binadamu, basi ni valid pia ujiulize kenge na kuku wametoka wapi maana chanzo cha uhai ni kimoja kulingana na wanasayansi japo ni wazi hawana uhakika.Ukiangalia maisha ya kenge na kuku unaweza kuuliza hili swali kweli???