Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Majdala Unapoendelea naendelea Kuwaza tu... Huu mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ukoje.

Kuanzia kinywa kinachokula, koromeo linalomeza chakula, ulimi unaoonja ladha ya chakula, jinsi tumbo linavyogawanya virutubisho kwenda sehemu mbalimbali za mwili, Kwa kweli inastaajabisha.

Ukiangalia viungo vya mwili kama Ini, Kongosho, Figo, Moyo, mapafu, mishipa ya damu, ubongo, hata bandama jinsi vinavyofanya kazi kwa mpangilio, halafu kuwe hakuna mbunifu wake, inashangaza sana!!
Na ndiyo maana inasemwa; "Usipojijua mwenyewe huwezi kumjua Mungu"
 
Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.

Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.

Na haileweki imekuwaje binadamu kuna mambo anayoyaita mema na mengine anayaita mabaya.

Hitimisho ni kuwa binadamu ni kiumbe kisichoelezeka.

Qur'an 23:115. Je! Mlidhani ya kwamba tulikuumbeni bure na ya kwamba nyinyi kwetu hamtarudishwa? 115
 
Eleza hoja zako basi.

Kama nina hoja za shule ya msingi, Eleza hizo za kwako.

Sio una bwabwaja bwabwaja hapa, Na huja eleza Hoja yeyote.

Una zunguka zunguka tu.
Unachofanya ni red herring fallacy, umeweza kujibu comments zangu ngapi?
 
Majdala Unapoendelea naendelea Kuwaza tu... Huu mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ukoje.

Kuanzia kinywa kinachokula, koromeo linalomeza chakula, ulimi unaoonja ladha ya chakula, jinsi tumbo linavyogawanya virutubisho kwenda sehemu mbalimbali za mwili, Kwa kweli inastaajabisha.

Ukiangalia viungo vya mwili kama Ini, Kongosho, Figo, Moyo, mapafu, mishipa ya damu, ubongo, hata bandama jinsi vinavyofanya kazi kwa mpangilio, halafu kuwe hakuna mbunifu wake, inashangaza sana!!
Mkuu nakuhakikishia fundi yupo, hivyo viungo ulivyovitaja hapo ukiangalia ni vidogo sana lakini vinafanya kazi kubwa sana na kwa mpangilio wa ajabu sana huku ukiendelea na shughuli zako ukiachilia mbali mavyakula mabovu watu wanakula, hakuna science iliyoweza kureplace kiungo hata kimoja kwa udogo na ufanisi wake, huwa nawaza sana wakati binadamu anakakufa hapa unakuta kuna kiungo kimoja kinafeli inamaana kama spea ipo huyu mtu anaishi na mpaka mtu anakufa Ubongo bado huwa unafanya kazi

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 
Wanataka uthibitishe...
Iangalie hewa kwa mfano!
Ni mchanganyiko wa Nitrogen 78%, oxygen 21% na noble gas ambayo ni 1%.

Oxygen ingezidi kwa 21% ingechoma mapafu. Na ingekuwa chini ya 21% isingeweza kuchoma rutuba za damu na isingewezekana kwa wanyama na binadamu kuishi.

Na kipimo hichi cha hewa hakibadiliki kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyengine hata mvua ikinyesha.

Haya ni mahesabu nyeti. Ni mahesabu na kanuni maalumu.
 
Ukizama Kwa ndani utaelewa. Alichokuwa anamaanisha kuwa hakuna kitu kisicho na muumbaji/mtengenezaji wake.

Lakini hivyo vlivyoumbwa/kutengenezwa haviwezi kujua viliumbwaje/vilitengenezwaje.

Kabla ya kuumbwa viumbe haviwezi kujua vilikuwaje au kabla ya kutengenezwa haviwezi kujua vilikuwaje kabla.
Na hii ndio principle ya uumbaji, huwezi kujua kwa sababu wewe sio sehemu ya uumbaji

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo wengine wanataka ushahidi usiotia shaka kuwa hao waumbaji wapo!!
Wakati mwangaza/mwanga unapogonga kwenye retina, seli maalumu zinazoitwa photoreceptor zinabadilisha mwanga kuwa kwenye signal za kielektroniki.

Hizi signal za kielektroniki zinasafiri kutoka kwenye retina kupitia optic nerve mpaka kwenye ubongo. Kisha ubongo unazibadili hizo signal kwenda kwenye picha ambazo ndizo tunaona.

Na hapo ni kwa ufupi tu! Ila wanasema "The eye contains over two million working parts and is considered the second most complex organ in the body— the most complex is the brain"
 
Back
Top Bottom