matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
chanzo cha binadamu ni Mungu. Vingine vyote ni kulishana maujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka uthibitishe...chanzo cha binadamu ni Mungu. Vingine vyote ni kulishana maujinga.
Jawabu ni post nambari 255Mungu yupi Allah au Jehova?
Mungu anajithibitisha mwenyewe ndani ya kila mtu.Wanataka uthibitishe...
Na ndiyo maana inasemwa; "Usipojijua mwenyewe huwezi kumjua Mungu"Majdala Unapoendelea naendelea Kuwaza tu... Huu mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ukoje.
Kuanzia kinywa kinachokula, koromeo linalomeza chakula, ulimi unaoonja ladha ya chakula, jinsi tumbo linavyogawanya virutubisho kwenda sehemu mbalimbali za mwili, Kwa kweli inastaajabisha.
Ukiangalia viungo vya mwili kama Ini, Kongosho, Figo, Moyo, mapafu, mishipa ya damu, ubongo, hata bandama jinsi vinavyofanya kazi kwa mpangilio, halafu kuwe hakuna mbunifu wake, inashangaza sana!!
Au wanajaza nadharia za watu wengine kwenye mjadala unaowataka wao kufikiri.Ukitaka kujua watu ni wavivu kufikiri, Utasikia: "Tuachane na hayo mambo."
Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.
Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.
Na haileweki imekuwaje binadamu kuna mambo anayoyaita mema na mengine anayaita mabaya.
Hitimisho ni kuwa binadamu ni kiumbe kisichoelezeka.
Wa dhana e, ndo maana basi, wangu ni wa yakini ...Namzungumzia Mungu anaye dhaniwa kuwa ndiye chanzo cha ulimwengu.
Nasema hivi [emoji116]
Mungu huyo hayupo.
Unachofanya ni red herring fallacy, umeweza kujibu comments zangu ngapi?Eleza hoja zako basi.
Kama nina hoja za shule ya msingi, Eleza hizo za kwako.
Sio una bwabwaja bwabwaja hapa, Na huja eleza Hoja yeyote.
Una zunguka zunguka tu.
[emoji706]Unachofanya ni red herring fallacy, umeweza kujibu comments zangu ngapi?
Mkuu nakuhakikishia fundi yupo, hivyo viungo ulivyovitaja hapo ukiangalia ni vidogo sana lakini vinafanya kazi kubwa sana na kwa mpangilio wa ajabu sana huku ukiendelea na shughuli zako ukiachilia mbali mavyakula mabovu watu wanakula, hakuna science iliyoweza kureplace kiungo hata kimoja kwa udogo na ufanisi wake, huwa nawaza sana wakati binadamu anakakufa hapa unakuta kuna kiungo kimoja kinafeli inamaana kama spea ipo huyu mtu anaishi na mpaka mtu anakufa Ubongo bado huwa unafanya kaziMajdala Unapoendelea naendelea Kuwaza tu... Huu mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ukoje.
Kuanzia kinywa kinachokula, koromeo linalomeza chakula, ulimi unaoonja ladha ya chakula, jinsi tumbo linavyogawanya virutubisho kwenda sehemu mbalimbali za mwili, Kwa kweli inastaajabisha.
Ukiangalia viungo vya mwili kama Ini, Kongosho, Figo, Moyo, mapafu, mishipa ya damu, ubongo, hata bandama jinsi vinavyofanya kazi kwa mpangilio, halafu kuwe hakuna mbunifu wake, inashangaza sana!!
[emoji23]According to Einstein relativity.
The rate at which time passes depends upon your frame of reference.
Iangalie hewa kwa mfano!Wanataka uthibitishe...
Na hii ndio principle ya uumbaji, huwezi kujua kwa sababu wewe sio sehemu ya uumbajiUkizama Kwa ndani utaelewa. Alichokuwa anamaanisha kuwa hakuna kitu kisicho na muumbaji/mtengenezaji wake.
Lakini hivyo vlivyoumbwa/kutengenezwa haviwezi kujua viliumbwaje/vilitengenezwaje.
Kabla ya kuumbwa viumbe haviwezi kujua vilikuwaje au kabla ya kutengenezwa haviwezi kujua vilikuwaje kabla.
Wakati mwangaza/mwanga unapogonga kwenye retina, seli maalumu zinazoitwa photoreceptor zinabadilisha mwanga kuwa kwenye signal za kielektroniki.Ndiyo wengine wanataka ushahidi usiotia shaka kuwa hao waumbaji wapo!!