Mungu ni Mmoja Tu ila Miungu ni Wengi sana...Vitabu vinavyo daiwa na kuaminiwa kwamba ni vya Mungu ni vingi sana.
Kuna hiyo Biblia yenu. Ninyi wakristo.
Kuna Quran ya waislamu.
Kuna Torah ya wayahudi.
Kuna Tripitaka ya wabudha.
Kuna The Vedas ya wahindu.
Kuna The Kojik ya washinto kule Japan.
Kuna The Guru Granth Sahib ya wasikhism.
Kuna Rastafar Bible ya Rastafarians.
Sasa wewe unathibitishaje kwamba Biblia yako tu ndilo neno la Mungu?
Wakati kuna maandiko mengi tu yanayo aminiwa kwamba ni ya Mungu.
Au unatetea Biblia tu, kwa vile ndivyo ulivyo kariri na kuaminishwa?
Na wewe mwambie huyo MUNGU wako, aongee kama ana huo uwezo.Mungu ni Mmoja Tu ila Miungu ni Wengi sana...
Na Kama Unataka Kujua Hilo Waambie Hao miungu wengine Uliowataja Wafanye Yale Ambayo Mungu ninayemwamni mimi ameyafanya .. Niambie Hiyo Miungu Mingine imefanya Nini? Imefanya miujiza Gani? Imefufua nini? Imewaokoa Watu gani!?
Au ni MIUNGU mfu isiyoweza Kuongea
Kwahiyo Kutenda Mabaya Kwako unaona Ni Jambo Lililo SAWA. Kisa una FREE WILL?Kwa nini binadamu akichagua kutenda mabaya aadhibiwe?
Wakati yuko huru kutumia freewill ileile iliyowekwa kufanya chochote apendacho.
Kama binadamu akitenda mabaya ata adhibiwa, huoni kwamba uhuru wa kutenda mabaya unakuwa haupo kwa sababu ya mtu kuhofia adhabu?
Ni sawa na wewe umwambie mwanao yuko huru kwenda shuleni kusoma au kubaki nyumbani kucheza, Lakini endapo atabaki nyumbani kucheza, utamchapa viboko.
Sasa hapa mtoto anakuwa hayupo huru, kwa sababu akibaki nyumbani kucheza utamchapa. Na hana budi kwenda shuleni ili akwepe viboko.
Vivyo hivyo, Kama kuna adhabu kwa kutenda mabaya, then freewill ya mtu kuchagua kutenda mabaya haipo. Kwa sababu kuna adhabu.
Na ili kukwepa adhabu, kila mtu atalazimika kutenda matendo mema.
Freewill ya kutenda mabaya inakuwa haipo. Kwa kuhofia adhabu.
Therefore, Freewill haipo na binadamu wote tunalazimika kutenda mema tu.
Huyo Mungu wakati anaweka freewill ya mtu kuweza kutenda mabaya na yeye aliona ni sawa mabaya yafanyike?Kwahiyo Kutenda Mabaya Kwako unaona Ni Jambo Lililo SAWA. Kisa una FREE WILL?
Hakuwa na Kosa Lolote Lile kukuwekea Hiyo Free Will na Kumbuka YEYE athiriki na Wewe Kutenda Ubaya Unajiangamiza Mwenyewe.. Yeye Alikupa Tu WARNING kwamba Nimekupa Free Will (sijakuumba ROBOT maana Pia Ungelalamika )ila Ukifanya Mabaya Utapata Hiki na Hiki na Ukifanya MEMA utapata Hiki na Hiki. SO CHOOSE wisely .. Hata Malaika wameambiwa Hivyo hivyoHuyo Mungu wakati anaweka freewill ya mtu kuweza kutenda mabaya na yeye aliona ni sawa mabaya yafanyike?
Kwa sababu kama kutenda mabaya SI SAWA, Hata kuwepo kwa freewill inayo muwezesha mtu kutenda mabaya SI SAWA VILEVILE.
Na huyo MUNGU wako HAYUKO SAWA kuweka freewill ya mtu kuweza kutenda mabaya.
Una elewa?
😹😹😹 Viumbe wazito kaumba..!!Kumbe huyo Mungu aliumba viumbe wenye uwezo wa kutomtumikia halafu hapohapo anataka kutumikiwa.
Huyo Mungu wenu ana ugua ukichaa.
Yani anataka kutumikiwa, lakini anaumba viumbe wenye uwezo wa kutomtumikia.
Halafu asipotumikiwa anatoa adhabu, wakati ni yeye mwenyewe, aliumba viumbe wenye uwezo wa kutomtumikia.
Huyo Mungu wenu, pamoja na nyie waamini wake, hamjielewi kabisa!
Majibu ya Swali Gani HAYAPO..Hayupo ndiomana hakuna majibu..!!
Mimi nawaambiga hawa waamini Mungu, huyo Mungu wao hajielewi kabisa.😹😹😹 Viumbe wazito kaumba..!!
Ila hapo Mungu ndipo aliponichosha, unamuumba shetani halafu anakuletea kiburi. Sasa hakujua kama anayemuumba aramzingua??
Kama Wewe ni Mzazi unapomzaa mtoto wako Na Kumlea Katika Mazingira Yote Mazuri na Maadili mema.😹😹😹 Viumbe wazito kaumba..!!
Ila hapo Mungu ndipo aliponichosha, unamuumba shetani halafu anakuletea kiburi. Sasa hakujua kama anayemuumba aramzingua??
Kwa hiyo wewe unaona mtu kutenda mabaya si sawa, lakini Mungu kuweka freewill ya kuweza kutenda mabaya ni sawa?Hakuwa na Kosa Lolote Lile kukuwekea Hiyo Free Will na Kumbuka YEYE athiriki na Wewe Kutenda Ubaya Unajiangamiza Mwenyewe.. Yeye Alikupa Tu WARNING kwamba Nimekupa Free Will (sijakuumba ROBOT maana Pia Ungelalamika )ila Ukifanya Mabaya Utapata Hiki na Hiki na Ukifanya MEMA utapata Hiki na Hiki. SO CHOOSE wisely .. Hata Malaika wameambiwa Hivyo hivyo
HATA Duniani sisi Binadamu wenyewe tumejiwekea Sheria za Kufuata Na Usipozifuata Umepewa WARNING so It is UP TO YOU. ukizifunja Sheria Hizo Aliyezitunga Hata pata Madhara yeyote yake Ila Wewe Mwenyewe ndio Utaangamia.. Sasa Kama Nyie Binadamu wenyewe mnajiadhibu Je Mungu aliye Juu unataka Asikuadhibu?
Hajielewi kisa SHETANI?Mimi nawaambiga hawa waamini Mungu, huyo Mungu wao hajielewi kabisa.
NDIO maana Ameitwa MUNGU wa HAKI.. Hakutaka Kukuumba Roboti. Maana wewe Infropreneur Ungesema Tena Mungu ni Mbinafsi sana Kwanini Hajatuacha Huru tufanye TutakavyoKwa hiyo wewe unaona mtu kutenda mabaya si sawa, lakini Mungu kuweka freewill ya kuweza kutenda mabaya ni sawa?
Kama si sawa mtu kutenda mabaya, kwa nini iwe sawa Mungu kuweka freewill ya kuweza kutenda mabaya?
Wewe ulikuwepo na ulishuhudia?Majibu ya Swali Gani HAYAPO..
1. Aliwaongoza Waisraeli Jagwani bado UNASEMA HAYUPO
2. Alishusha Moto kuangamiza SODOM NA GOMOLA. Bado unasema Hayupo?
3. Alishusha Moto kujidhirisha kwa malkia Jezebel kwamba Manabii wake wa Uongo wanaabudu miungu ya Uongo. BADO unasema HAYUPO
4. Alifufua wafu Kupitia Mwanae YESU mfano Lazaro. BADO UNASEMA HAYUPO
Hayupo kwanza, naona ni hadithi tu!Mimi nawaambiga hawa waamini Mungu, huyo Mungu wao hajielewi kabisa.
Kwani Wewe ulikuwepo Kipindi Nyerere anapigania UHURU? Mbona Unaamini Na Kumuita BABA WA TAIFA!? Je unaamini hiloWewe ulikuwepo na ulishuhudia?
Kama freewill ya kutenda mabaya imewekwa lakini hatupaswi kutenda mabaya hayo, Sasa kulikuwa na haja gani ya kuweka freewill ya kutenda mabaya?NDIO maana Ameitwa MUNGU wa HAKI.. Hakutaka Kukuumba Roboti. Maana wewe Infropreneur Ungesema Tena Mungu ni Mbinafsi sana Kwanini Hajatuacha Huru tufanye Tutakavyo
Yeye amekuacha Huru Utende Utendavyo.. Ila Kukuwekea Freewill ya Kutenda Mabaya Haimaanishi ndio Uyatende Mabaya Hayo maana Yana madhara. Huwezi niambia KUUA wewd unaona Ni SAWA.. Kisa Kuua Uliwekewa Moyoni mwako na MUNGU ..
Kwahiyo umekubaliana sasa kama Mungu hakuumba mwanadamu bali mwanadamu ndo kazaa na kumuumba mtoto wake? 😹Kama Wewe ni Mzazi unapomzaa mtoto wako Na Kumlea Katika Mazingira Yote Mazuri na Maadili mema.
Je! Siku akikutukana utassma Mtoto huyo si Wako? Mungu Mnamlaumu Bure Tu. Je kwanini hamsemi Alimuumba YESU kristo kama Mwanae Mpendwa Hakumsaliti na Wala HAKUMZINGUA. Je hamuoni kwamba Mnakosea maana MUNGU ameumba Malaika Na Binadamu wanaomtii MAISHA yao yote na Hawajawahi Mkosea
Mungu mnayedai kwamba ni mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Je HAKUJUA kwamba Shetani atakuja kumuasi amdhibiti na kumzuia mapema?Hajielewi kisa SHETANI?
Unasemaje Kuhusu YESU aliyemtii
Unasemaje Kuhusu Mussa Aliyemtii
Unasemaje Kuhusu Malaika Michael aliyemtii
Unasemaje kuhusu Eliya Aliyemtii
Unasemaje Kuhusu Abrahamu aliyemtii
SHETANI kiumbe Kimoja Ndio kikufanye Useme Mungu hajielewi..? Usiwe na Roho ya Namna Hiyo