Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Hujachangia alafu ualikwe labda uzamie, kuhudhuria unataka Ila kuchangia hutakiWeye changia.Ila mimi mnialike nitaleta zawadi.Halafu,ni hiyari yenu kunialika kama ilivyo hiyari yangu kuhudhuria.
Hawa watu ni kero sana mkuu, na unakuta anakufuatilia utoe mchango utafikiri anakusaidia kupanga bajeti.....naunga mkono hoja kwamba wana shida kubwa kwenye fikra.Hi gentlemen!
Wakuu hivi mnalichukuliaje suala la kadi za michango ya sherehe kama hharusi na send-off?
Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo, amekosa akili kichwani.
Tubadilike, tuache kupenda mambo makuu, tufanye sherehe za kipato chetu.
Tusaidiane kwenye mambo ya elimu, biashara , ajira na afya sio mambo ya kuchangiana mtu akafanye nanilii na mwenzi wake.
Kuombwa Tena naumesema hauhitaji michango kadanganye watoto wadogo
Hii michango kwa sasa imekua kerooHi gentlemen!
Wakuu hivi mnalichukuliaje suala la kadi za michango ya sherehe kama hharusi na send-off?
Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo, amekosa akili kichwani.
Tubadilike, tuache kupenda mambo makuu, tufanye sherehe za kipato chetu.
Tusaidiane kwenye mambo ya elimu, biashara , ajira na afya sio mambo ya kuchangiana mtu akafanye nanilii na mwenzi wake.
Uko kama mimi 100%.Hi gentlemen!

Sahihi tena usipowasumbua watakuja wenyewe wanaokupenda wachache inatosha kuloko kijaza washambengaSikuomba mchango ila walioalikwa wakajisikia moyoni kuleta zawadi haikua haba
Zawadi haiombwi
Itakapofika hatua watz wakawqza kama hivi basi Nchi itapata maendeleo.Pamoja sana
Binafsi nilikataa kuchangiwa sendoff niliwashinda wapinzani wa katazo langu ambao ni ndugu na jamaa waliokua wanang'ang'ania ati nichangiwe sababu wao wamechangia
Unataka kuoa au kuolewa weka mipango yako sawa kadri ya uwezo wako sio kadri ya mifuko ya wengine
Unaalikwa hujachangia huendi? Kwa sababu unajua tabia za nyie waswazi kusemana๐ ๐Ukiwa complicated kwenye maisha hutafurahia maisha kamwe, mim sina mpango wa kuoa lakin nachangia kama ninauwezo kama siwez namuambia muhusika
Ukinialika sherehe mim bila kuchangia siji sababu sitakua na uhuru
Tafuta ela acha makasiriko
Mimi huwa natoa pale ninapojisikia tu.najua Harusi sio emergency.Wewe ponda maisha yake uwezavyo ila ndio ameshasema MCHANGO WA HARUSI HATOI
Ndivyo mnavyojifanyaga๐ ๐ ๐Tafuta hela,umasikini huleta roho mbaya
Mbona una hasira sana. Nyie ndio mnaosumbua watu kwenye magroup mnataka kufanya Wonders kwa harusi za michango ili muonekane mna vipato vizuri?๐Sema huna hela tu kijana nasio kutoa visingizio.
Mtu mwenyewe unakaa chanika,kutwa kudandia madaladala hyo hela ya kuchangia unaitoa wapi ikiwa kula yako yenyewe tu ya tabu
Ukweli ni kuwa wachangiaji wazuri wa haruso hawachangiagi wagonjwa๐ ๐+1
Binafsi nilifanya harusi ya kimya kimya sikutaka kusumbua watu na haikunigharimu kabisa ni zile za mafungu siku ya mkesha wa pasaka.
Wakija na kadi mkononi wanaonijua huwa nawauliza swali moja tu , unaikumbuka harusi yangu ilivyofana? story zinaishia hapo, nimewahi kuchangia harusi chache sana moja ni wa bizz mate wangu ambaye hajui history yangu
Bora nichangie mgonjwa
๐ ๐ ๐Hii ni sahihi 100% yaan mimi nisaidie kuidhinisha watu kwenda kunyanduana?
Kama huna moyo wa kutoa huna tu usitafute sababu, mtu mwenye moyo wa kutoa atachangia harusi, matibabu, atasaidia wenzake kama huna moyo wa kutoa jambo lolote like utalitafutia sababuUkweli ni kuwa wachangiaji wazuri wa haruso hawachangiagi wagonjwa๐ ๐
Kichwa yako ngumu sana kuelewa.Haya endelea na uombaomba wako.Hujachangia alafu ualikwe labda uzamie, kuhudhuria unataka Ila kuchangia hutaki
Mkuu mbona unatudharau wa chanikaSema huna hela tu kijana nasio kutoa visingizio.
Mtu mwenyewe unakaa chanika,kutwa kudandia madaladala hyo hela ya kuchangia unaitoa wapi ikiwa kula yako yenyewe tu ya tabu
Ukafurahie maisha kweye ndoa za watu๐ ๐Kama huna moyo wa kutoa huna tu usitafute sababu, mtu mwenye moyo wa kutoa atachangia harusi, matibabu, atasaidia wenzake kama huna moyo wa kutoa jambo lolote like utalitafutia sababu
Kwenye jamii watu kama nyie mpo, ambao wanaochangia wataendelea kuwepo na tutaendelea kuchangia maisha yenyewe mafupi yanapita niache kufurahia maisha hatuishi milele hapa duniani
Kuna watu tumeanza nao mwaka sahivi ni marehemu, wengine vilema ukipata nafasi ya kufurahia maisha furahia maisha life is too short,
๐ ๐Mkuu mbona unatudharau wa chanika