Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo

Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo

Hi gentlemen!

Wakuu hivi mnalichukuliaje suala la kadi za michango ya sherehe kama hharusi na send-off?

Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo, amekosa akili kichwani.
Tubadilike, tuache kupenda mambo makuu, tufanye sherehe za kipato chetu.

Tusaidiane kwenye mambo ya elimu, biashara , ajira na afya sio mambo ya kuchangiana mtu akafanye nanilii na mwenzi wake.
Hawa watu ni kero sana mkuu, na unakuta anakufuatilia utoe mchango utafikiri anakusaidia kupanga bajeti.....naunga mkono hoja kwamba wana shida kubwa kwenye fikra.
 
Hi gentlemen!

Wakuu hivi mnalichukuliaje suala la kadi za michango ya sherehe kama hharusi na send-off?

Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo, amekosa akili kichwani.
Tubadilike, tuache kupenda mambo makuu, tufanye sherehe za kipato chetu.

Tusaidiane kwenye mambo ya elimu, biashara , ajira na afya sio mambo ya kuchangiana mtu akafanye nanilii na mwenzi wake.
Hii michango kwa sasa imekua keroo
 
Uko kama mimi 100%.
 
Sikuomba mchango ila walioalikwa wakajisikia moyoni kuleta zawadi haikua haba
Zawadi haiombwi
Sahihi tena usipowasumbua watakuja wenyewe wanaokupenda wachache inatosha kuloko kijaza washambenga
 
Pamoja sana

Binafsi nilikataa kuchangiwa sendoff niliwashinda wapinzani wa katazo langu ambao ni ndugu na jamaa waliokua wanang'ang'ania ati nichangiwe sababu wao wamechangia

Unataka kuoa au kuolewa weka mipango yako sawa kadri ya uwezo wako sio kadri ya mifuko ya wengine
Itakapofika hatua watz wakawqza kama hivi basi Nchi itapata maendeleo.

Watu wako ladhi kuchangia harusi milions of Money lakini hao hao hawawezi kuchangia kijana aliyekosa Ada chuoakasoma.
 
Ukiwa complicated kwenye maisha hutafurahia maisha kamwe, mim sina mpango wa kuoa lakin nachangia kama ninauwezo kama siwez namuambia muhusika

Ukinialika sherehe mim bila kuchangia siji sababu sitakua na uhuru

Tafuta ela acha makasiriko
Unaalikwa hujachangia huendi? Kwa sababu unajua tabia za nyie waswazi kusemana😅😅
 
Sema huna hela tu kijana nasio kutoa visingizio.

Mtu mwenyewe unakaa chanika,kutwa kudandia madaladala hyo hela ya kuchangia unaitoa wapi ikiwa kula yako yenyewe tu ya tabu
Mbona una hasira sana. Nyie ndio mnaosumbua watu kwenye magroup mnataka kufanya Wonders kwa harusi za michango ili muonekane mna vipato vizuri?😅
 
+1
Binafsi nilifanya harusi ya kimya kimya sikutaka kusumbua watu na haikunigharimu kabisa ni zile za mafungu siku ya mkesha wa pasaka.

Wakija na kadi mkononi wanaonijua huwa nawauliza swali moja tu , unaikumbuka harusi yangu ilivyofana? story zinaishia hapo, nimewahi kuchangia harusi chache sana moja ni wa bizz mate wangu ambaye hajui history yangu

Bora nichangie mgonjwa
Ukweli ni kuwa wachangiaji wazuri wa haruso hawachangiagi wagonjwa😅😅
 
Ukweli ni kuwa wachangiaji wazuri wa haruso hawachangiagi wagonjwa😅😅
Kama huna moyo wa kutoa huna tu usitafute sababu, mtu mwenye moyo wa kutoa atachangia harusi, matibabu, atasaidia wenzake kama huna moyo wa kutoa jambo lolote like utalitafutia sababu

Kwenye jamii watu kama nyie mpo, ambao wanaochangia wataendelea kuwepo na tutaendelea kuchangia maisha yenyewe mafupi yanapita niache kufurahia maisha hatuishi milele hapa duniani

Kuna watu tumeanza nao mwaka sahivi ni marehemu, wengine vilema ukipata nafasi ya kufurahia maisha furahia maisha life is too short,
 
Kama watu wananipa kadi nawachangia kwanini mie nisichangishe? Wewe kama huna kazi sema sina kazi ili ueleweke ela huna kwa sasa.
 
Kama huna moyo wa kutoa huna tu usitafute sababu, mtu mwenye moyo wa kutoa atachangia harusi, matibabu, atasaidia wenzake kama huna moyo wa kutoa jambo lolote like utalitafutia sababu

Kwenye jamii watu kama nyie mpo, ambao wanaochangia wataendelea kuwepo na tutaendelea kuchangia maisha yenyewe mafupi yanapita niache kufurahia maisha hatuishi milele hapa duniani

Kuna watu tumeanza nao mwaka sahivi ni marehemu, wengine vilema ukipata nafasi ya kufurahia maisha furahia maisha life is too short,
Ukafurahie maisha kweye ndoa za watu😅😅
Unashindwa kufurahia nyumbani kwako
 
We jamaa hyo avatar yako mbona imekaa kijames delicious
 
Back
Top Bottom