Lol. Narudia pole Mkuu utapona.Acha kutia huruma...
Ulikuwa unataka upate recognition kwa kutema shit? Ndo nyie millenial mnaoharibu forum kwa kufuata mikumbo ya kijinga mkidhani kila mmoja ata buy kwenye huo upuuzi
Hapa ndo inaonyesha ni jinsi gani hujui kuchanganua mambo.Huyo ni mwanasheria una uhakika?
Mwanasheria hawezi kuwa na trantum, na kejeli zisizo Isha. Inshort hakuna mtu hapo
Je unadhani hii failure ni yao au yenu wazazi? Anyways that's off topic..Ndugu yangu Gunner hii information age haina control muhimu tuishi nao mutually hakuna jinsi hawa ndio watoto wetu na failure yao yoyote iko exacerbated na ubovu wa malezi yetu.
Umesahau hata ulicho andika??Hapa ndo inaonyesha ni jinsi gani hujui kuchanganua mambo.
Wapi nimeandika huyo ni mwanasheria. 🤣🤣
Wewe Pimbi kila siku kulia lia tu humu,mara uikashifu JF na kusema kua ni Forums ya hovyo ila kila siku umo humu humu na vinyuzi vyako vya hovyo,Ni aina hii ya watu ambao hawana akili za kueleweka na wamejawa na vinyongo ndo nilitaka kuongelea..
Sasa umeongea hivi ili kupata nafuu na kutema nyongo? Ama? Maana hii comment haina uhusiano wowote na content za huu uzi..
Infact wewe mpuuzi ndo umeandika haya ili jf nikuone na ego ako hiyo ya kishamba
Watu wengi hawasomi vitu vinavyoandikwa ndani wanaenda na motion yake ya siku hiyo aandike nini basi hata ukiuliza chimbo la Elelctronics China utabezwa mazee..Thanks kamanda, sijui kwa nini watu wanafanya mzaha katika hili
🤣🤣🤣 tunamsaidia kwa manufaa ya afya yake ya akili ooooohhhh,ila utanisaidia akianza kurusha mawe 🤣🤣Mkuu taratibu wanasemaga dogo huwa ana kisukari na hakikawii kupanda. 🤣🤣
Acha kuwa Juha wewe..Wewe Pimbi kila siku kulia lia tu humu,mara uikashifu JF na kusema kua ni Forums ya hovyo ila kila siku umo humu humu na vinyuzi vyako vya hovyo,
Nimekupa ukweli kabisa,umesema huoni faida ya kua humu,sasa unangoja nini? sepa na utambae mbele,hakuna jipya uliloliandika hapa,malalaimko ya aina hii yamekuwepo toka kitambo tu,huwezi kuwacontrol watu,
Kingine hebu jaribu kutafuta shughuli ya kufanya ili japo ikukeep busy nje ya JF,Umri haumsubiri mtu,kushinda juu ya sofa la mume wa Dada yako kutakuchelewesha sana siku Dada yako akiachika.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tunamsaidia kwa manufaa ya afya yake ya akili ooooohhhh,ila utanisaidia akianza kurusha mawe 🤣🤣
Tumsaidie maana kana hekahekaUliitwa humu na nani?
Usinicheke 🤣🤣🤣🤣 maana kanapenda vita ya maneno
Kameanza kukuchafua🤣🤣Hapa ndo inaonyesha ni jinsi gani hujui kuchanganua mambo.
Wapi nimeandika huyo ni mwanasheria.
Wewe Pimbi sepa tu huna faida yoyote ile,umesha sema huoni faida ya kua humu,Acha kuwa Juha wewe..
Nime leta mada mezani ambayo inamashiko, wewe unaleta vijembe na ujinga wa kujifanya unajua maisha yangu binafsi??
Huwezi kucontrol watu?
Ndo majitu aina hii yamekaa kihasara kuona uchafu barabara I na kuanza kusema ndo watu walivyo badala kuwa mstari wa Mbele kusafisha.
Achana na drama za kujifanya unanijua, Dili na topic iliyo mezani. Wewe mwanaume na sio dada wa msondongoma