Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Kukusaidia jifunze kwa kuangalia video kama hizi huku moyo unasuuzika kwa uzuri wa kusikiliza Qur'an kwa lugha yake ya asili na kujifunza.


 
Iwe Kwa Quran au kitabu chochote, huo ni Uongo.

Tunaweza kuiuliza Quran maswali katika Mada hizo mbili ikabainika kuwa ni Uongo.
Yaani Quran ikakosa majibu yenye mantiki.

((Iwe Kwa Quran au kitabu chochote, huo ni Uongo.))

Nimekoti huo mwandiko wako hapo kuonyesha kwamba,umeshaonyesha tayar msimamo wako uko wapi.

Kwa ufupi hapa hakutakuwa na mjadala wenye afya!

Ngoja niendelee na utaratibu wangu WA kusoma Tu!

Shukrani.
 
MADA YA QATAR IMEGEUKA MHADHARA.
TATIZO ALIYOTOA HI MADA AMEONGEA VITU VYA UONGO KUHUSU QURAN NA UISLAM


Uislam umejengwa katika kufuata Muongozo Mkuu ambao ni Quran, ingawaje niliandika kuwa Quran ilikopi na kuiba maandiko ya kiyahudi Jambo ambalo ni kweli kabisa lakini ninachowasifu Waislam ni uwezo na msimamo wao wa kufuata yale yaliyoandikwa humo kwenye kitabu Chao bila kujali yaliibiwa au hayakuibiwa.
 
Bado hujasema Qatar walifanya nini, zaidi ya kusifia
 
Mungu angetaka tumuamini angeshuka live na hayo mavitabu yote atuonyeshe kipi ni sahihi , kwa sababu hajashuka sioni sababu ya kuamni kitabu chochote labda tu nichukue mazur kama yapo kama nilivyochukua mazuri kwenye kitabu cha penzi kitovu cha uzembe
 
Saana,baada ya 9/11 vitabu vya kiislam vilikua vikihitajika mno kiasi kupotea sokoni,na wazungu wanasilimu Sana,haraka haraka ni Arthur wagna afd,akiwa kiongozi wa chama Cha kupinga German Islamization,aliposoma Qur'an akasilimu akajivua na uanachama
🖕🏿
 
Muhamadi huyuhuyu aliyezini na binti wa miaka 9 na akamgonga na yule bibi🤣🤣🤣🤣
 

😂😂😂
Umevurugwa Mkuu
 
Dini yoyote lazima iwe na Siku ya Ibada katika wiki
Uislamu hauna siku maalumu ya ibada bali siku zote ni siku za ibada.
Kamuulize Mwalimu wako akufundishe vizuri akuambie Kwa nini Waislam wanaabudu katika siku ya ijumaa.
Waislamu wanaabudu siku zote na wala sio siku ya ijumaa tu,kwa sababu kinachofanyika ile saa saba siku ya ijumaa ndicho kinachofanyika katika sala zingine zote tano.

Ijumaa utasali vile vile kama unavyosali alfajiri ya kila siku kwani idadi ya vitendo katika alfajiri ya kila siku ni sawa na idadi ya vitendo katika siku ya ijumaa.

Hivyo unaposema waislamu wanaabudu ijumaa hiyo point haijakaa sawa ndugu iweke wazi zaidi huwenda kuna kitu unakusudia kusema hapo.

Kwa kumalizia tu ni kwamba waislamu wanaabudu siku zote na sio siku ya ijumaa tu.

Kama unazo hoja kwamba waislamu wanaabudu ijumaa tu unaweza kuweka hapa ndugu Robert
 

Umejibu vizuri Kabisa.
Wakati uislam, Quran na Allah hawana siku ya Ibada.
Wayahudi, Biblia na Yehova wao wanasiku kuu ya Ibada katika kila Juma.

Bado unaona Yehova na Allah ni mungu yuleyule?
 
Allah hakumpa Musa Kule Mlimani Sheria 10 kwenye mbao?
Kama alimpa naomba unitajie Kwa mujibu wa Quran katika mtiririko wake.
Kama hakuna pia nijuze
Quran ni kitabu Cha mwisho Cha Allah/Yehova aliyempa mtume wa mwisho ambae ni mtume Muhammad

Ndani ya Quran Kuna
1)Amri Sheria na hukumu kwa ajili ya umati Muhammad

2)Mawaidha Kwa watu wote

3) Hadithi za mitume kabla ya Muhammad Yani Nuhu, Ibrahim, Luti Musa,Daudi Suleiman, Yesu na wengine wengi

Sheria alizopewa Musa zipo katika kitabu Chake Cha taurati alichopewa na Allah miaka 2500 kabla ya Kuja mtume Muhammad
 


Nimekuweka kiporo, nitakuja kukupa elimu usiyoijua kuhusu Taurati na Qur'an.-- Qur'an is superior over other doctrines.
 
FiFA wamefanya makosa sana kupeleka hii michuano uko ushenzini. Uislamu ni dini ya kupigwa marufuku popote pale, kwanza likitabu lao wanasoma kuanzia mbele kurudi nyuma, pili dada zao wengi marinda hawana..wanajificha nyuma ya Dini kumbe visamvu vinapakuliwa kama kawaida. Hii ni kinafiki sana
 
Muongo wewe.. mitume na manabii wote wametokea uyahudini, kwa maana mwamba Mungu aliweka maagano mbali mbali kwa kipindi tofauti na wayahudi .. hivo hakuna Nabii wakati Mtume aliyetoka nje ya uyahudi kama yupo mtaje. Mtume na Nabii wa mwisho alikuwa ni Yesu Kristin, uyo Muddy sijui katokea katika agano gani. Maana Mungu hakuweka maagano na waarabu
 
Nimekuweka kiporo, nitakuja kukupa elimu usiyoijua kuhusu Taurati na Qur'an.-- Qur'an is superior over other doctrines.

Uje na Hoja zenye majibu uliyoulizwa.

Usisahau kuleta Aya zinazoonyesha Amri 10 alizopewa Musa pale Mlimani kulingana na Quran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…