Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Unataka kumaanisha nini haswa?
 
Kwa hiyo wewe uko Tanzania unajiona unauelewa kuhusu hizo tuhuma dhidi yake kuliko Serikali ya Dhaka au New Delhi?
 
Kuna vitu Qatar walipaswa na wanapaswa kuviepuka sana wakati huu wa mashindano ya world Cup, la sivyo vinaweza kuleta machafuko.

Mpira ni mchezo wa kijamii (secular), sio busara sana kuuoanisha na itikadi za kidini. Kama Qatar iliyajua hayo kabla, na wakaona ni sawa kwa mashindano hayo kufanyika nchini mwao (kwa kuwa hayaingilii imani ya nchi yao), basi waheshimu hilo.

Kadri Qatar wanavyotaka kuyafremu hayo mashindano kidini (kiislamu) ndivyo ambavyo wanachochea makundi mengine ya kidini (kikristo, kihindu, kibudha) na kipagani kuonyesha hisia zao.

Usishangae kuona mashabiki kuingia na misalaba uwanjani na kushangilia nayo.
 
Wasisahau kupamba na Hadith hii kwenye zile big screen

Muhammad said
I will expel the Jews and Christians from the Arabian Peninsula and will not leave any but Muslim. Sahih Muslim 1767a
 
Sio kila kula ni chakula mfano ni yule mbuzi katoliki kwenu ni nyie sio chakula japo analiwa na jamii nyingine. Shule nimejifunza hayo miuu
Dah!!!...kwa hiyo ibada na abudu havihusiani kwa kiswahili chako Cha o level!?..Kama ambavyo kula na cha'kula' visivyohusiana, sivyo!?...shuleni sijui Kuna nini siku hizi!!
 
Umenijibu au umeandika maelezo tu mana huzungumzii nilicho andika hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…