BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,843
- Thread starter
- #81
Unataka kumaanisha nini haswa?umenikumbusha miaka 2013 maeneo ya mburahati .si unajua disko vumbi full kukesha uswahilini sasa ule mda wa kuelekea kukucha msikiti jirani ukawa unatoa kauli za kuahamsha watu waswali na kutishia ili kuogopa. kilicho fata Dj alikuwa anapunguza mziki wa mama amina pale wakiitikia [emoji23]