Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Kusilimu kwa Seedorf kuwa Mwislamu kulipongezwa sana katika ulimwengu wa Kiarabu na Kiislamu. Na Issam Toutate Gwiji wa zamani wa soka wa Uholanzi na klabu ya AC Milan Clarence Seedorf ametangaza kuwa amesilimu. Je hao ndio wakristo wa mchongo?
Mtu akisilimu mnashangilia sana lakini mwislam akiingia ukristo mnaweza hata kumuua, kwanini lakini?
 
Hakika, watu watakuwa radhi kusikiliza hoja za Dr Zakir Naik kuliko kuangalia mpira. Na huko ndiko kufaulu kwa dini. Huyo ni Bingwa mwenye hoja matata. Usithubutu kuangalia Television yake nyumbani kwako. Nyote mtasilimu.
Wangemwalika na mwandishi wa kitabu cha Satanic Verses ili story iwe na mizania nzuri.
 
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Zakir Naik
tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.

View attachment 2422130

Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.

"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.

View attachment 2422132
.................

Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022

View attachment 2422135

Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.

Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.

View attachment 2422136

Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.

Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.

Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.

View attachment 2422138

Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.

Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Hapa DSM tunaye Mwandosya kule kawe, maelfu ya waislamu wanabatizwa, nenda kaone mwenyewe
 
Kwa hili tumetapeliwa kwa Mungu hakuna kufanya zinaa ndugu zangu ni uongo
 
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.

Unaposema mamia ya wakristo wahofia kusilimu, hapo sijaelewa kwani kusilimu ni ajali hadi watu wahofiwe kwamba wamesilimu? Kwanza hayo mashindano ni haramu kiislam, sasa iweje hafla haramu ndo itemize na waislamu kusilimisha wakristo?
 
Attachments

  • Screenshot_20221018-091820_Firefox.jpg
    Screenshot_20221018-091820_Firefox.jpg
    166.3 KB · Views: 4
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.

View attachment 2422130

Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.

"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.

View attachment 2422132
.................

Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022

View attachment 2422135

Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.

Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.

View attachment 2422136

Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.

Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.

Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.

View attachment 2422138

Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.

Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Mkishindwa, mpira ni kharam. Mkishinda, mpira ni burudani
 
Kumbuka Drogba naye anaelekea huko huko, bado anawapumbaza lakini nuru ameshaiyona tayari. Kukana kwake ni kuwapumbaza na kuhofia asitengwe.
Hakuna mtu anatengwa kwa kuwa Muislam toka kuwa Mkristo.huo upuuzi hatufanyagi sisi,imani yetu sio ya lazima.ni mtu naonyeshwa pendo la Mungu kupitia Yesu Kristo na anaamini na kujazwa Roho Mtakatifu.Hkauna bakora huku wala kutengana kwasababu MUNGU WETU NI PENDO
 
Waislamu ni wakarimu na ni watu wanaothamini utu wa mwanadamu, na wanaongozwa na Mwenyezi Mungu na Mtume wake katika kufanya mambo yao kwa uadilifu, hisani na huruma.

Ni kwa kuishi kwa wema, na kujenga uhusiano mwema na wasio Waislamu ndipo Waislamu wanapoweza kufanya Da’awah na kuwalingania wasio Waislamu katika njia ya Haki ya Uislamu.
Weeeeh....hawa hawa wa Kitaya hapa Mtwara?Hawa tunaowinda kama panya huku Northen Mozambique??
Siwezi wakashifu maana imani yangu inasisitiza heshima na upendo kwa kila mtu,ila kwa kupingana kwa maneno na vitendo vyenu sijawahi na sitakuja waelewa!
 
Back
Top Bottom