Binti amkataa Baba mlezi siku ya Harusi, ampa heshima zaidi Baba mzazi.

Umelilea toto la single mother miaka 25 yote umejipinda toto linaolewa credit kwa Baba aliemtia Mimba Mama yake Wewe Baba Mlezi Fala tu kimbelembele chako cha upwiru kimekuponza ukamwaga noti
Japo inauma lakini ni Ukweli na hii inatokana na wanaume wanaotanguliza Nyeye mbele kuliko Akili.

Wewe unahangaika usiku na mchana kutafuta riziki na jasho juu kulea mtoto ambaye Baba aliyemkwanyua mama yaka akatia mimba yeye pesa zake anakula pombe na wanawake wengine.

Ataacha kukudharau?
 
Hio inaumiza mpaka ndani kwenye mifupa
 
Single mothers ni wasengeh tu. Na aliesababisha hivyo ni huyo mama pia, sababu kama angekua anajali angemkanya tena kwa ukali au amgemuandalia mazingira kwamba popote pale asije kumdharau baba yake huyo wa kambo mana hakuna baya alilomfanyia au kuwafanyia yeye na mama yake zaid ya kuwapenda na kuwatunza
Ila leo mzee wa watu ndio analipwa mavi.
Hio ndoa inaenda kufa soon, utarud na mrejesho hapa,nimekaa na gari yangu paleee.
 
Wacha akome

Mzee kama huyo kwann hakuoa binti mpka akaoa mke na mzazi wa mtu?

Kulea bao la mwanaume mwenzako malipo yake ndo hayo.

Wacha akome kupiga mipira ilokufa
 
Wacha akome

Mzee kama huyo kwann hakuoa binti mpka akaoa mke na mzazi wa mtu?

Kulea bao la mwanaume mwenzako malipo yake ndo hayo.

Wacha akome kupiga mipira ilokufa

Lakîni wapo waliolea watoto wakufikia na wanaheshimiwa huku watoto wao wakuwazaa wakiwadharau
 
Ah ndio akome....wee unaenda kulea bao la mwanaume mwenzio kweli una akili au matope 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…