Binti amkataa Baba mlezi siku ya Harusi, ampa heshima zaidi Baba mzazi.

Huyo alikuwa anamjuwa baba'ke mzazi muda mrafu na ana mawasilianao nae ya karibu.

Uliyekuwa hufahamu ni wewe tu.
 
Binti amefanya jambo sahihi kabisa kwasababu Baba yake atabaki kua Baba yake na uyo mlezi atabaki kua mlezi na hakulazimishwa.
 

Kibinadamu hata mzazi wako anataka malipo
 
Kuna kisa kimoja mtu ukiambiwa unaweza kulia. Jamaa alikuwa anaoa akamtambulisha mama wa bandia kwa sababu tu mama yake ni wa kijijini na amekaa ki-local sana hivyo ''atamwaibisha mbele za watu'' kulinga na maelezo yake.

Hii niliwahi kushuhudia kwa Uncle mmoja july kwetu

Alimkana Mama yake ambaye kwetu alikuwa bibi(rafiki yake bibi yangu mzaa mama)

Ila kwa sasa wote ni marehemu
 

Duuh hatari Sana
 
Why karma always associated with bad things?
 
HAPO BINTI KAFANYA KWA KUFUATA MAAGIZO TOKA JUU, KWA MAMAKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…