Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Duh
Itakua mna bifu kubwa sana
 
Yaani kabisa anadiriki kusema RC ni mpenzi wake.Hii jambo liende tu mahakamani lakini mwisho wake RC atakuwa vizuri tu wala asiwe na shaka.Hii ni aibu ya muda tu.
 
umesema kweli, wengi wanasema ni maagano ya uchawi, wanakuwa wanalisha uchawi, ndio maana alitaka tigo bikra. watu wanauliza, kama ni mauchafu hayo ya kishetani mbona kuna mishangazi ilishalanduka ipo tu huko, kwanini atake tigo kwa kibinti kidogo cha 21? ila shetani mbaya sana. watu hamna hata huruma.
 
mwanaume ambaye ana mke au demu halafu huwa hapiti nae nyuma mara moja moja namdharau na nampa pole
...sababu mwanamke akipata jamaa wa pembeni wa kupita nae nyuma atachepuka tu.

Nimekusaidia kumalizia.
 
Labda binti alimwambia mtaro wake ni bikra. Why akatafute mitaro ya magumegume ambayo imeshatanuka na kua kama mbele tu?
Tunakimbilia mitaroni kupata ule mbanano, Sasa hayo magumegume mbanano ni zero au negative kabisa.
 
Sasa ndo demu wakupiga huyu! RC nae aliendekeza upwiru wa kifala.
Kibaya kwako kizuri kwa mwengine. Mwenzio akiona hapo full kuchangayikiwa.

Kuna siri na logic kubwa sana kwenye kupendana. Yaan kila alieoa au alie na demu kuna chenye amependa kwa demu huyo ambacho wengine hawajakiona au kukipenda.

Kuna mademu wabovu huyo wa RC ana afadhali lakin wameolewa na wanaume wao wamekufa wameoza kwao huwaambii kitu.

Ya Mungu ni mengi sana.
 
Pamoja na yote haijustfy alawitiwe hata kama ni malaya. RC lazima abebe mzigo wake.
 
Kwa kuanzia tu nimegundua RC Mwanza na Mtuhumiwa ni ma schoolmates. Rafiki wa kweli ni yule akufaae kwenye shida.

Hii kesi imemkalia vibaya Mr. Kuku, akifanikiwa kuchomoka hapa akafanye sana ibada. Na kama anafanya basi azidishe mara mbili yake.
 
Polisi naona wamesimamia show vyema.

Huyo aliyelawiti Inregadless ya title yake ashuhulikiwe.
 
Maagano hayo tunaweza kuona anapotea kisiasa Kwa sasa kumbe ndo again litafanya kazi atazidi kunga'aa na Kuwa maarufu na Binti atapotezewa , ukumbuke ya mwamposa baada ya kafara ya Moshi alivoanza kujaza maelfu ya watu Tanganyika packers
 
Alafu mabinti kama hawa waliolelewa na single mama inategemeana sasa na baba aliwaachaje Huwa wanachuki mno Kwa wanaume endapo utamkosea.. huyo Binti lazima asimamie haki yake na atahakakisha wanapelekana mahakamani
 
Kwenye mahusiano Huwa Kuna nyota pia hii haihusiani na muonekano Kuna wanawake wa kawaida sana lkn wameolewa kwenye hadhi kubwa
 
Hiyo ni kazi ya Mungu Ili Kila mtu apate wa kumuoa lasihivyo wabaya wasingeolewaga
 
1. Kwa nini hakumshitaki alipotaka kumlawiti mara ya kwanza?
2. Kwa nini alipotoka kituoni hakwenda nyumbani akaenda chuoni?
3. Ma RC wawili waende chuoni kukutafuta?
4. Yaani polisi wa kawaida apingane na RC(mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa)?
5. RC akitaka kuingilia jambo la kipolisi si atapitia kwa RPC?Na RPC akiagiza polisi yeyote hawezi kukataa.
NB: Kuna mkono wa siasa hapa au binti anatafuta utajiri ili aokoe familia yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…