Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
INASIKITISHA WALLAH.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ulishawahi kufika mahakamani, utakuwa umeshaelewa kwamba ushahidi kwamba haikuwa hiari unatoka kwa binti. where else do you think utapata ushahidi kuwa haikuwa hiari zaidi ya kutoka kwa binti? ushahidi wa mdomo mahakama huwa inaupokea pia.
ndio, mahakama itapima kwa kukuangalia kama unasema ukweli au uongo.kwahiyo ukishasme inatosha? huhitaji vielelezo vya ziada? nani kaona? wapi umeumizwa katika harakati za kuingiliwa?
kuna tatizo? hata wako akijaa tu katika 18 anaingiliwa vile vilekwa hiyo mke wako unamwingilia kinyume na maumbile? kwenye mavi kabisa??
Inamaana wenye umri mkubwa huwa wanasahau wapi pa ku................huu ni ukatili wa kijinsia pole sana Binti kupitia wewe mabinti wengine watajifunza tabia ya kuwa na mahusiano na watu wenye umri kama wa baba yao ambao inapelekea kufanyiwa vitendo vya ukatili kama huu
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.
Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.
Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.