nitakusaidia najua hauelewi. alipopimwa, alikuta amelawitiwa, (sio kwamba kulawitiwa ni kawaida yake hiyo unasema wewe), nguo za binti zenye kinyesi wanasema zipo, kama angekuwa kawaida yake angetita? meaning that was her first time, according to them. kwenye kesi za kawaida za kubaka kwa mfano, nenda hata tanzlii tu download usome kadhaa, kinachozingatiwa ni ushahidi wa mhanga, na kama utakuungwa mkono na chochote itafaa zaidi. hata kama alikuwa amezoea kulawitiwa, cha muhimu kama RC naye alilawiti humo ambamo wenzake wamemzoea, bado tu ni kosa kwasababu Tanzania kulawiti iwe mara ya kwanza, mara ya pili au mara ya mia moja, ni kosa, miaka 30. hata kubaka, malaya wa sinza aliyekubuhu anaweza kubakwa, huwezi kusema alizoeshwa ni amekubuhu kwahiyo kwasababu hakuumia basi hajabakwa, No. penetration however slight.