Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

kama ulishawahi kufika mahakamani, utakuwa umeshaelewa kwamba ushahidi kwamba haikuwa hiari unatoka kwa binti. where else do you think utapata ushahidi kuwa haikuwa hiari zaidi ya kutoka kwa binti? ushahidi wa mdomo mahakama huwa inaupokea pia.

kwahiyo ukishasme inatosha? huhitaji vielelezo vya ziada? nani kaona? wapi umeumizwa katika harakati za kuingiliwa?
 
huu ni ukatili wa kijinsia pole sana Binti kupitia wewe mabinti wengine watajifunza tabia ya kuwa na mahusiano na watu wenye umri kama wa baba yao ambao inapelekea kufanyiwa vitendo vya ukatili kama huu
Inamaana wenye umri mkubwa huwa wanasahau wapi pa ku................
 
Imekula kwake.
 
wenye update ya kesi ya RC tuambieni huko mwanza. au imeshakufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…