Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
...hii habari ya kifo cha huyo binti na rafiki yake ...inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah mejikuta mwili unasisimka dah so sad jamani, binadamu tumekua na roho ngumu, mungu tuhurumie kwa kweli jaman jamani dah
Cc mamaafacebook
dunia hii si mbaya ila walimwengu ndo wabaya ni lipi lengo lao sasa na wameshamuua
labda aliwanyima papuchi...
Kuna story iko kwenye gazeti la uhuru inayohusu kifo cha huyu dada na mwenzie jackline Masanja mtangazaji wa clouds fm kama sikosei alishawahi kutangaza kipindi cha njia panda cha clouds fm... Wanadai huyu jackline alikuwa anajishughulisha na madawa ya kulevya na Ashura alienda kuonana naye baada ya kuwa marafiki Facebook japo jackline naye alikutwa amekufa siku moja mbele baada ya kifo cha ashura na mwili wake umehifadhiwa Temeke Hospital.
Ya kweli Haya,? Kwahyo salha ndiye Jack? Maana habari zinaeleza kuwa aliuwawa yeye na rafiki ake anaitwa salha
Source gazeti la mzalendo.
Aligombana na nani hivi karibuni?
Mtu wa mwisho kumpigia simu nani?
Alionekana wapi? alikuwa na nani mara ya mwisho?
labda aliwanyima papuchi...
#tusker Bariidi
Kama nambaye ingali hewani nadhani watu wa usalama wanaweza wakafanya trace ya location ya hao watumaji picha...