Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

Yaani wanawake wanaona kale kauvimbe kao ni kama kitega uchumi,hopeless kabisa!
NA NYIE MNAONA HAKO KADUDU KENU KAMA SEHEMU YA WADADA KUPONEA MATATIZO YAO
SIO KWELI
LAZIMA UIFANYIE KAZI KAUVIMBE
WHY UCHUKUE BURE?
 
Mwanamke na mwanaume , anayehitaji ngono Sana ni mwanamke.

anayetoa na anayepokea nani anamuhitaji mwezake?

Ungelenga zaidi kuwaambia wawe smart na wajitunze ili waone Kama hata watasitirika ktk ndoa.
 
ndio nachosema
kama huna mpango na mwanamke achana nae
why ukawekeze mboo kwa mwanamke huna mpango nae?
na hawa wanawake nao hawajijui thamani zao ndio maana wanakubali kuwekezwa ovyo
 
Mwanamke na mwanaume , anayehitaji ngono Sana ni mwanamke.

anayetoa na anayepokea nani anamuhitaji mwezake?

Ungelenga zaidi kuwaambia wawe smart na wajitunze ili waone Kama hata watasitirika ktk ndoa.
me nadhani umesoma juu juu haujasoma nimeandika ndani
ila waje kwenye darasa langu la whatsapp la feminine na tiktok watapona
 
Hili kungwi malaya limekuja tena kuwafundisha wake zetu umalaya kama wake .

Tena linawavutia na huko WhatsApp ili liwafunze vizuri kigagula hili linatuharibia wanawake zetu
malaya ni mama yako mzazi kama hajaolewa bikra
we unachukia maana unajua wanawake wakijitambua hautawapata tena soko lako litaisha
 
Kwani masikini wenzao si wapo, wanawake mizigo ni sida sana kuwa nao kwenye mahusiano. Utashangaa unaoa leo na kuhamia kwenu wiki ijayo familia nzima ya huyo mwanamke inahamia kwenu.
acha roho mbaya wewe
huyo mwanaume maskili aamka akafanye kazi awe tajiri amuoe huyu unaemwita mwanamke maskini basi
 
Huyu Kungwi yuko kazini kupotosha wanawake !!!

Thamani ya mwanamke ni heshima yake, pesa zinapoingia thamani inaaguka vibaya depreciation to 0% ni haraka sana.
nipo kazini kuamsha wanawake wasitumike bure au wasitumike kabisa
wajue thamani zao kwanza kabla ya kujipeleka kwa wanaume
au umenuna hutapata wateja?
 
Asilimia kubwa waliomo humu washaliwa zamani tena kwa chips na pepsi ya baridi ila wanaku zoom tu,ushauri huu kawashauri wa shule ya msingi
Sio hawa wanaolala daily nje kama migomba
kama wameliwa basi waje niwafundishe jinsi ya kujua thamani zao wasiliwe tena
 
We acha kuzuga
uzi uko pale pale
wekeza kwa mwanamke kwanza ndio umtumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…