Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

tatizo lako unaleta siasa badala ya kutoa majibu...

bas nijibu ww binafsi kiasi gani mwanaume akiwekeza kwako upo tayari kutoa mbususu??
jibu nikujibu
mimi sio mwanaume mpaka nikawekeze kwa mwanamke
 
Hicho kikubwa kinachotakiwa kuwekezwa ni kipi, weka benchmark hapa tujue hicho kikubwa kinachotakiwa kuwekezwa kabla ya mwanamke kutoa 'K' ni kitu gani, ni 100k, nyumba, gari, au ni kitu gani........vinginevyo unataka kupiga porojo tu na kuwapotosha wenzio ili waangukie kwa wanunua 'K' badala ya wanaume sahihi wanaowapenda wao wenyewe.
 
NATOA DARASA LA FEMININE WHATSAPP UJE
AU UKAANGALIE YOUTUBE AU UJE TIKTOK NINA DARASA NAANZA SAHIVI SAA 6MCHANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…