Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

Unaliwajwe bila ndoa? Kwamba kuna li SIMP litakupenda ukiwa used?
 
Sielewi kwa ni wanawake maskini wanaona wanastahili kuwa na wanaume matajiri. Ndio maana wengi wanafanywa watumwa kiasi cha kukosa kauli kwenye miili na maisha yao wenyewe.
sasa wanawake maskini ulitaka wakaolewe na nani?
wewe au?
 
sawa money penny

unajuaje kama mwanaume amewekeza kikubwa kwako?

kwasababu wanaume wapo wa viwango tofauti, kuna ambaye akijitahidi sana anaweza kukujengea nyumba na kuna ambaye akijitahidi sana anaweza kukununulia simu tu
unajua tu]
uje kwenye darasa la feminine whatsapp utajua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…