Binti wa Jacob Zuma achumbiwa na Mfalme Mswati III

Ifahamike pia ki psychology Kuna wasichana hupenda watu wazima ili waendelee kudeka na kujisikia queen na huyu dogo ni mjanja na hii imehesabiwa kwa umakini maana kanajua kabisa kataendelea kuwa young for ever kwa huyo mfalme maana umri umeenda na sio rahisi akaongeza mke
 
Huyu Mswati si swahiba wa jamaa wa Msoga kweli
 
Huyu angekuwa muislam hapa wakristo wange leta story zao za kishoga utadhani walikuwepo 😄
 
Kama vile tunasema mtu akatembelee serengiti au ngorongoro aisee nawashauri kabla hujafa nenda kashuhudie hii shere ya mfalme kuchagua nke. I am blessed to have witnessed it.
 
Mswati the legend, mwamba anazifungulia mwenyewe. Sio mchezo
Ukudika better to be born lucky than gifted ndio hii sasa. Yaani kwanza alivyo ascend to the thrown tayari ni bahati maana unatakiwa kuwa mtoto wa kiume oeekee kwenye uzao wa mama yako. So imagine mfamle ana wake wangapi and u just have to be the chosen one.
Mwamba alikuwa na haki ya kusitisha masomo yake ulaya aje kukalia kiti maana bahti haiji mara mbili
 
Kwakweli mwamba ni the great
 
Yaani anakubali kuwa mke wa 16 na huku hana njaa,duuuh

Zuma kajidhalilisha sana kubariku hili kama mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…