Binti wa kishua kanipenda ila nina mke na mtoto

Binti wa kishua kanipenda ila nina mke na mtoto

Mimi sikulamba sukari Wacha ujinga wako tulimshauri vizuri hapa muokata pete za mzungu so na wewe tunakushauri huyo mdada kakusifiya kutokana na uaminifu wako hajasema kama anakupenda ,nenda ukaonane nae ujue anataka nini pengine ana mchongo wa kazi kwa hivyo nyege zako ziweze na vile vile akikuuliza personel life yako mwambie ukweli ili ule uaminifu wako wende sambamba ,jiamini ww ni kidume usikubali mtu yyote kukuchezea akili tamaa mbele mauti nyuma kila kingaracho si dhahabu kuna shaba vile vile inangaraa.​

 
Buheri mazee

Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani kaka" nikasema bila samahani, Gari yangu imeisha mafuta na cjatembea na akiba hivi shell Iko wapi maeneo haya nikasema kama unadumu nipe nikakuchukulie ingawa Iko mbali kidogo akasema Sina, nikamwambia nipe hela nitajua huko huko Cha kufanya
Hizo ndo akili za wanawake amempenda jamaa alie enda kumnunulia mafuta, na atampotezea mwanaume aliyemnunulia gari
 
Sasa Mkeo yeye anamuhusu nini...?? KWANI UNATAKA KUMUOA HUYO DEMU MPYA.

Acha uboyaa kulaa pitaa hivii
 
Back
Top Bottom