MANYORI Jr
JF-Expert Member
- Mar 25, 2012
- 462
- 343
Hata kuiba kunakubidi uwe na mtaji.Kama mzee baba J ananunua mtaji,sembuse makande? Acha ungese!makande yanahitaji mtaji kiasi gani?wabongo kwa visingizio
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kuiba kunakubidi uwe na mtaji.Kama mzee baba J ananunua mtaji,sembuse makande? Acha ungese!makande yanahitaji mtaji kiasi gani?wabongo kwa visingizio
Au wakati anafanya hivyo na bado nachukua oda ya kupika hata kwenye kipaimara na shughuli ndogo ndogo kujenga jina na watu wanavyooa kila wiki baadae weekend anatoa huduma kwenye harusi maana nilivyomsikia biashara yake nadhani siku za kazi ndio inanoga zaidi hivyo ili aweze ku-shine wiki nzima inabidi na weekend akomae kwenye shereheNa tena anavyoendelea kuuza ndio anazidi kujitengenezea jina na kufanya awe na wateja wengi, yaani baada ya miezi mitatu utakuta anacheza na wateja 80+, kizembe zembe anaweza akatoka sawa na mbunge
Sent using unknown device
Huku kiukweli elimu tunaitumia kuwananga watu na sio kuingiza pesa, ila ninachofurahi madogo wa siku hizi wanajitahidi kujichanganya pamoja na kwamba wachagua kazi wapo wengi (mie nimeshuhudia mtu ana degree yake lakini amekwenda kujifunza cherehani alafu anakula vichwa tu)Nigeria kua na degree ni kama kua na cheti cha lasaba
Ni nchi ambazo elimu imekuja saa moja jioni ndio tunajithaminisha kwa kutumia elimu na vidato ila nchi nyingine hiyo ni kawaida sana, hivi ulishawahi kusikia mzungu anaitwa kwa elimu yake mfano Dr Williams, professor Mcdonald? Ni Africa tu elimu inakubatiza upya.
Na hili ndio tatizo kubwa la graduates wa kibongo na hasa kutoka vijijini au maeneo ambayo watu wanaenda secondary kwa mchango wa kijiji na walioenda secondary wanahesabikaMkuu Freelancer unakosea!
Hapa wadau hatutaelewa popoma ni nani kati ya wanaomsifia au wanaomkosoa,wewe unaona yupo sahihi kwa elimu yake hiyo kufanya biashala ya chakula?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Bro umeeleweka ila unakitu kitu flani ambacho unaweza kuelezea vijana ukawaokoa, hebu elezea kidogo namna ya kutoka katika comfort zoteUkitaka watu wakupigie makofi basi wape wazo lako la kuendelea kuwa ndani ya Confort zone hapo utashangiliwa sana.
Dada wa MWANZA angekuja na Idea ya Kufungua Duka kali la Urembo angeshangiliwa sana, Duka la Nguoa watu wangeshangilia mno, Salooni kari ya kike watu wangeshangilia sana, Baa tungeshangilia sana.
Tungeshangilia kwa sababu ni vitu vya Confort zone zetu.
Ukitaka ukamwe basi waso lako la nje kabisa ya Confort zone wapelekee watu wa ndani ya Confort zone. Hahaaa hapo unakamwa milele
DADA MWENYE BIASHARA YA KANDE MWANZA nazani aliomba ushauri kutoka kwa watu wa walio kwisha toka kabisa nje ya Confort zone zao. la sivyo asingefanya ile biashara. yaani angeomba ushauri kutoka kwa watu kama sisi tungeishia kumwambia anajiabisha.
Nisha wahi kuleta Habari ya Dasa muuza Uji anaye soma Chuo watu waliponda sana wanaponda kwa sababu dada katoka nje ya Confort zone na si vinginevyo.
Wanao pondea Dada wa Mwanza ni kwa sababu yule Dada katoka nje ya Confort zone walizo zizoea wao. sasa hii ni tatizo kwetu watu wa Confort zone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna pensioner huko Germany ni engineer lakini anaokota makopo na kwenda kuuza tena ni mzungu, ulaya wapo masikini wengi tu ambao hawana hata pa kulala, homelessSawa. Hongera mwenye kusomea marekani kuja kuuza kande Tz. Mpuuzi wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa watakwambia umechanganyikiwa! Mtu anasoma masters mpaka PhD anavuka na border, anarudi Tanzania kuuza makande. Pathetic.NGOJA NAMI NICHANGIE KIDOGO...
Tusipende sana wasomi kufanya mambo tofauti na carrier zao...
AFRIKA NI MASIKINI KWA SABABU WASOMI WENGI HAWAFANYI VILE WALIVYOSOMEA.. UNAKUTA KASOMEA IT LKN ANAUZA NGUO...
TUKUBALI KUWA TUMEPOTEA....
KAMA ALISOMEA UJASIRIAMALI BASI AMEPATIA SANA NA ANAFANYA KILE AMBACHO ANAPASWA KUFANYA ILA KAMA KASOMEA TOFAUTI NA HAPO YUKO WRONG NA HII NI KWA SABABU YA UMASIKINI WETU.
WASOMI WETU WAANGALIWE VIZURI NA KAMA NCHI LAZIMA TUWE NA SERA MADHUBUTI ZA KUWAWEZESHA HAWA WASOMI... TUSICHEKELEE UPUUZI HUU.. MTU KATUMIA GHARAMA KUBWA AFU ETI UNAMSIFIA KUUZA KANDE?? SI BORA ANGEANZA KUUZA TANGIA ZAMANI?? HAKUNA MWENYE KUSOMA AKAWAZA HAYO MAMBO.. ALWAYS HUTOKEA MARA BAADA YA KUSHINDWA KWA SERA ZETU ZA KUIINUA WASOMI WETU...
NCHI YA HOVYO SANA HII.. NA NI AIBU KWA TAIFA KWA WATU KUFANYA VITU AMBAVYO HAWANA UTAALAMU NAVYO..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huo uchumi wako una faida gani kwenye hii nchi ambayo shilingi inaporomoka kila saa?Mm nna shahada ya uchumi-Mlimani na nimechoma mkaa na kuuza kuni.
Can u imagine
Mwenzako anaingiza laki 2 kwa siku, wewe unaingiza shi ngapi? Uki sum up anamzidi hata mkurugenzi flani kwenye serikali ya jiwe.master halafu kuuza makande ni upumbavu wa hali ya juu
OVA
Hahahaha ukweli mchungu nchi haina dira ndio maana masters ya agro economy ni wakala wa M MPESA...Hapa watakwambia umechanganyikiwa! Mtu anasoma masters mpaka PhD anavuka na border, anarudi Tanzania kuuza makande. Pathetic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu hapo,yaani nitoke America na master yangu nije na cheap idea kama hiii.Halafu unakuja kumsifia hapa?Hatua aliyofikia alitakiwa aje na project kubwa zakusaidia Taifa sio vijiajira uchwara hivi.Hakuna kitu hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaunga mkono hoja asilimia miaYaani kwangu mtu yoyote aliefika kusoma au kuishi marekani au nchi za ulaya,halafu akarudi huku analialia habari za hela huo ni upopoma mkubwa,hata huyo anaeuza kande wakati amesoma marekani/kuishi marekani ni mpumbavu wa hali ya juu,siwatanii
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la kujiajiri sio mtaji bali ni utayari na moyo wa kufanya hivyo, commitment
makande yanahitaji mtaji kiasi gani?wabongo kwa visingizio
ExposhyaNdo maana nawashauri wazazi wasipoteze hela kusomesha mtoto nje ya tz
Hakuna tofauti zaidi utatumia mihela mingi sana na mishahara ya tz yajulikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui mtanichukuliaje but faida ya hiyo masters na degree ni nn? Kama ameamua kuuza makande kwa nn asingefanya kuanzia mwanzo?
Sent using Jamii Forums mobile app