Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021

Nasikia hapa bongolala ana matawi yake pia .. na Kama yapo bas kuna wauminj vilaza Sana Kama wale wa askofu Rashid anatomba KONDOO na waumin wanaona lakn wanakanusha Sie yeye
 
Shida kuna watu wakiokoka wanajitoa ufahamu kabisa wa kuwahoji watu wanaojiita watumishi wa Mungu.Ndio maana jamaa wanatumia hiyo advantage kuwapiga kweli kweli! Matendo ya Bushiri yanaonyesha wazi kuwa ni tapeli mkubwa.
Tena tapeli lililokubuhu..

Kuna kademu kamoja teenager alikapiga mimba, akakapa cheque ili kafanye abortion, ile cheque ikabounce bank
( seems fake cheque)

Basi bidada akajifungua unaambiwa mtoto ni copy and paste ya prophet [emoji16][emoji16]

Na mtoto kamkana hataki kusikia hizo habaree
 
Hii ya kuwala waumini ni mojawapo ya makafara ya kuvuta waumini wengi zaidi..manii ndio hutumika zaidi, sasa sometimes hujisahau kikaumana
Kabisa mkuu.Ila jamaa hata miujiza yake haihitaji akili nyingi kujua km ni tapeli au laana. Kuna muujiza ule anajifanya anatembea hewani yani uongo live kabsa. Upo muujiza mwingine anatumia kemikali ya Permanganate, Glycerin na maji kutengeneza moto aafu anawaambia waumini eti ni moto wa roho mtakatifu kutoka mbinguni.Video ipo Youtube search "Fire from Heaven" [emoji38][emoji28][emoji38][emoji28]
 
Imagine[emoji1751]

Halafu eti limama ofisini linalaani[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Amekwisha sasa anatafuta njia ya kurudi hewani... He will never come back again
 
Hata baadhi ya mitume walifufua watu, lakini nao walikuja kufa... Sio issue mpya na wala haimfanyi mtu asiwe mtumishi wa Mungu. Simtetei Bushiri kama ni mtumishi wa Mungu au la, anayejua ni yule anayedai anamtumikia.
Hata Yesu hakufufua wafu wote
 
Walokole nikiwa raisi watafute pakwenda siwezi kuongoza raia waliobeba vichwa vya kufugia nywele na kuvaa mawigi.
Ahaaaahaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaah hii kesi naijua,ila baadaye alikubali kumtunza mtoto. Alimpa huyo binti pesa, nyumba na gari kwa makubaliano ya kutotangaza au kuongea na waandishi. Ndo ivo lakini siri haifichiki
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Hiyo ya kutembea hewani ndo niliona binadamu wanaomuamini ni vilaza hata mnyama ana akili[emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Jizi kubwa na linaanza kuaibika
Kuna wakati akili ya Mtanzania inatia mashaka.
Hivi ni nani hufanya kazi bure kuhudumia watu bila kupata faida?
Huyu anakula madhabahuni kwake, ukiona wivu fungua la kwako.
 
Mungu anajua sababu ya kumchukua huyu malaika.
 
Na ndio maisha yalivyo [emoji3][emoji3]
Kweli kabisa, watu wanabuni kila njia ili kuwin akili za watu upige pesa.
Sasa tunapomlaum mtu asiyekulazimisha kutoa pesa bali anakushawishi kwa kazi yake kosa lake nini?
 
Anayo ndio makongo huko...huwezi amini vijana wasomi ndio wanamuamini huyu jamaa, mpaka nashangaa hapa ofisini
Sishangai kwa wasomi kijiunga kwenye utapeli huo s unaona Q NET na nyingnezo graduate ndio wamejaa humo kaz yao kubadili masaaa kuwa ASUBUHI mda wote haijalishi giza Totoro au jua Kali la saa nane wao wanabadili tu masaa
 

Hahah hawa watu ni wakuwaangalia na kupita zako tu Mkuu
 
Yaah hii kesi naijua,ila baadaye alikubali kumtunza mtoto. Alimpa huyo binti pesa, nyumba na gari kwa makubaliano ya kutotangaza au kuongea na waandishi. Ndo ivo lakini siri haifichiki
Huwa anakubali private ila matendo sasa ya kumtunza mtoto ndo hatimizi...hatoagi pesa yy ni bahili wa kutupwa, huyo dada kashamshtaki mara kadhaa, ila ndo hivo kesi zinatupwa hukoo

Salama yake alikuja kupata mme mwingine kaolewa na kazaa watoto wengine hiyo ndo pona yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…