Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Nadhani kafara ya mtoto wake ni namna ya kuweza kusafisha nyota yake upya na kujaribu kujinasua kutoka kwenye kesi na majanga mazito yanayomuandama. Kwa jinsi mambo yalivyo muandamana ilihitajika sadaka yenye nguvu,ndio maana kamtoa mtoto wake.Tusubiri tuone nini kitafuata baada ya hapo.Amekwisha sasa anatafuta njia ya kurudi hewani... He will never come back again
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anafufua ambao hawajafa kabisa.
Actually mimi ni sikubaliani na hawa Mitume lkn haya yote tunayasababisha kwa kutoijua biblia, hivyo wanapotumia mwanya wa ujinga wa watu waacheni tu wapige pesa kabla watu hawajazindukaHaahaahaa
Best naona unamtetea " Dad " wenu
Angemponya mapafu mwanae kama anavyo waponya wengine...Anafufua ambao hawajafa kabisa.
Huyu atawamaliza wote...Nadhani kafara ya mtoto wake ni namna ya kuweza kusafisha nyota yake upya na kujaribu kujinasua kutoka kwenye kesi na majanga mazito yanayomuandama. Kwa jinsi mambo yalivyo muandamana ilihitajika sadaka yenye nguvu,ndio maana kamtoa mtoto wake.Tusubiri tuone nini kitafuata baada ya hapo.
Kumbukeni pia kuna muimbaji wake maarufu alikufa kwa ajali ya gari miaka takribani 2 au 3 iliyopita ikiwa ni siku chake baada ya kufunga ndoa. Inasemekana nae alimtoa kafara.
Haya ni mawazo ya mtu asiyejua mambo ya Kimungu. Ungeona wale wastaafu wa Afrika kusini walivyokuwa wanalia mahakamani kwa kutapeliwa na Bushiri usingesema hivyo mkuu labda km huna roho ya ubinadamu ndani yako. Watu km kina Bushiri lazima wakemewa na uovu wao uwekwe wazi.Kuna wakati akili ya Mtanzania inatia mashaka.
Hivi ni nani hufanya kazi bure kuhudumia watu bila kupata faida?
Huyu anakula madhabahuni kwake, ukiona wivu fungua la kwako.
True...acha apige pesa mpaka akili ziwazindukeActually mimi ni sikubaliani na hawa Mitume lkn haya yote tunayasababisha kwa kutoijua biblia, hivyo wanapotumia mwanya wa ujinga wa watu waacheni tu wapige pesa kabla watu hawajazinduka
Haya mambo yana kilele.. Ukishafika kileleni huwezi kwenda mbele zaidi... Kifuatacho ni anguko kuu...!!!Nadhani kafara ya mtoto wake ni namna ya kuweza kusafisha nyota yake upya na kujaribu kujinasua kutoka kwenye kesi na majanga mazito yanayomuandama. Kwa jinsi mambo yalivyo muandamana ilihitajika sadaka yenye nguvu,ndio maana kamtoa mtoto wake.Tusubiri tuone nini kitafuata baada ya hapo.
Kumbukeni pia kuna muimbaji wake maarufu alikufa kwa ajali ya gari miaka takribani 2 au 3 iliyopita ikiwa ni siku chake baada ya kufunga ndoa. Inasemekana nae alimtoa kafara.
Honey uchokozi huo[emoji3][emoji3][emoji3]
Nasema ni ujinga wao, kama hao wazee ni wacha Mungu wa kweli walishindwaje kung'amua kuwa jamaa ni mpigaji tu?Haya ni mawazo ya mtu asiyejua mambo ya Kimungu. Ungeona wale wastaafu wa Afrika kusini walivyokuwa wanalia mahakamani kwa kutapeliwa na Bushiri usingesema hivyo mkuu labda km huna roho ya ubinadamu ndani yako. Watu km kina Bushiri lazima wakemewa na uovu wao uwekwe wazi.
Tena awachune na ngozi kabisa, watu wanapenda mteremko mnoTrue...acha apige pesa mpaka akili ziwazinduke
Umeponea chupu chupu?Huyu atawamaliza wote...
Jamani usiombe kuwa na ndugu mtoa kafara[emoji24][emoji24]
Niulizeni mimi
Btw mkishamgundua inabidi mmalize yeye kabla hajawaua wote, na mazoea ya kula vitu vyake uache, sijui kumtembelea umeishaa[emoji848]
Sio wafuasi tu, ana tawi la kanisa lake Tanzania, lipo makongo juu, na jumapili iliyopita walifanya ibada kumuombea huyo mtotoHawa ndio wana take advantage ya ujinga wa waumini wao and make money out of them!!! He is a wanted man in South Africa. Ana wafuasi wengi tu hata Tanzania!!! Wanawake wanampenda sana!!! Wadangaji wengi ni wafuasi wa nabii huyu kijana.
Kibaya zaidi huwa nahisi anawaloga kwanza na magic power from Nigeria..Haya ni mawazo ya mtu asiyejua mambo ya Kimungu. Ungeona wale wastaafu wa Afrika kusini walivyokuwa wanalia mahakamani kwa kutapeliwa na Bushiri usingesema hivyo mkuu labda km huna roho ya ubinadamu ndani yako. Watu km kina Bushiri lazima wakemewa na uovu wao uwekwe wazi.
Wanalogwaa kwanzaNasema ni ujinga wao, kama hao wazee ni wacha Mungu wa kweli walishindwaje kung'amua kuwa jamaa ni mpigaji tu?
Haihitaji digrii kuutambua uongo wa watu hawa.
Ukipigwa jilaumu mwenyewe.
Msererekoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena awachune na ngozi kabisa, watu wanapenda mteremko mno
Alishaondolewa watu hawataki ujingaUmeponea chupu chupu?
Basi wazee wa mserereko humu wamenuuunaa[emoji38][emoji38][emoji38]Msererekoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ha ha haBasi wazee wa mserereko humu wamenuuunaa[emoji38][emoji38][emoji38]