Wakiumwa waumini wanawaambia watapona kwa maombi lkn wao na familia zao wanawapeleka hospital...Na ukumbuke anafufua[emoji16][emoji16]
Matapeli sana hawa wachungajiHuyu jamaa nilionana nae anawapaka watu oliver oil anadai mafuta ya upako na watu wanaanguka kabisa. Kuja kucheck ni olive oil original.
Aah nikaachana na mahubiri yao, nilikua hapo kwa kazi ingine anyway.
Pole kwa msiba Mchungaji [emoji120]
Kwanza mhusika lazma aingie makubaliano maalum ya kichawi/ kishirikina kuhusu kutoa kafara ya damu ili afanikiwe kile anachokitaka.Inaweza kuwa mafanikio ya kibiashara,kupanda cheo kazini, kupata nguvu za miujiza, mvuto, n.k.Sasa mkata unamakubaliano yake ya kafara.Hujajibu swali langu mkuu..pesa inapatikanaje?
Huyu si ndo anaefufua watu hadharani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Honey uchokozi huo[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeelewa vizuri..ila kwenye majini sijapaelewa,wanaibaje pesa mkuu?..nilitegemea tunaishia kwenye mvuto labda wa kibiashara i.e wateja wataongezeka n.k au kupanda cheo means kupata mshahara wa juu na marupurupu zaidi..Kwanza mhusika lazma aingie makubaliano maalum ya kichawi/ kishirikina kuhusu kutoa kafara ya damu ili afanikiwe kile anachokitaka.Inaweza kuwa mafanikio ya kibiashara,kupanda cheo kazini, kupata nguvu za miujiza, mvuto, n.k.Sasa mkata unamakubaliano yake ya kafara.
Kuna makubaliano ya kutoa kafara ya idadi fulani ya watu kila mwisho wa mwezi,mwisho wa mwaka n.k Damu ya inayotolewa ni chakula muhimu cha majini,mapepo, maruhani na wachawi. Majini wanachokifanya ni kuiba pesa kutoka kwa watu wengine wasio wanachama wao na wasio na imani thabiti ya Mungu. Hope umeelewa japo kwa uchache
Wee Witie umeona uje kunianika humu Jf. Sasa nikuambie tuu kwamba J4 asubuhi utakula jeuri yako.Imagine[emoji1751]
Halafu eti limama ofisini linalaani[emoji16][emoji16][emoji16]
Anachagua mlaini ambaye hajakufa kabisa[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu nae si kuna mtu alishindwa kumfufua.
Ungeendelea kumchana tu,Yaan yule mama alikuwa anaongea mpaka mimate inamtoka...duh nikaomba msamaha yaishe!
Ila sitaingilia tena mambo yao wala kujumuika nao, hawako sawa walee[emoji848]
Gwajima typeBinti huyo aitwae Israella (8) alifariki siku ya jumatatu tar 29/3 nchini Kenya alipokua anapatiwa matibabu kutokana na matatizo ya mapafu. Hata hivyo, familia imelalamikia kitendo cha serikali ya Malawi kuizuia kuruka ndege binafsi iliyokua unamuwahisha mtoto huyo hospitali na hivyo kusababisha mtoto huyo kuchelewa kupata matibabu, kitendo ambacho madaktari wanasema kinawezekana kuwa kimesababisha kifo chake. RIP.
Source BBC
View attachment 1740432View attachment 1740435
Unataka nipigwe charge sheet mkuu[emoji16][emoji16]Ungeendelea kumchana tu,
manake shetani lazima achanwe
Hio ni kawaida ni binadamu anaepitia changamoto km binadamu wengine. Kua nabii,mufti,papa,president haikufanyi wewe usife au usipitie changamoto za hali ya kibinadamu.mtoto wa nabii anakufa tena kwa ugonjwa? kweli wajinga ndio waliwao...
yawezekana kbs asee, lucifer mshenz sanaProphet Bushiri Buys 4-Year-Old Daughter a U.S.$414,000 Maserati
Hiki kifo Bushiri anaweza kutuhumiwa kafaraView attachment 1740838
Huwa wanaiba kuna mganga alikuwa rafiki yangu walipanga wakaibe bank kwa uchawi, walipambana haswa na nguvu ya kule walifanikiwa kupata laki moja tuNimeelewa vizuri..ila kwenye majini sijapaelewa,wanaibaje pesa mkuu?..nilitegemea tunaishia kwenye mvuto labda wa kibiashara i.e wateja wataongezeka n.k au kupanda cheo means kupata mshahara wa juu na marupurupu zaidi..
Majini yatachotaje hela hapa na kuzipeleka pale,kirahisi tu hivyo?
Jana ofisini nimesema jamaa katoa kafara binti yake asee nililetewa mtiti na boss ( mwanamke) mpaka nikaomba msamaha[emoji16][emoji16]
Mpaka niliambiwa eti tayari nimeshatupiwa laana[emoji848]
NB
Sitaki tena mazoea na walokole, nahisi vichwa vyao vimejaa maruweruwe
Yaan yule mama alikuwa anaongea mpaka mimate inamtoka...duh nikaomba msamaha yaishe!
Ila sitaingilia tena mambo yao wala kujumuika nao, hawako sawa walee[emoji848]
Iko hivi mkuu mimi ni Mkristo, Biblia imetuagiza tuishi maisha yaliyo safi, lakini vilevile tumeagizwa kumtolea Mungu fungu la kumi,sadaka, shukurani, kuwasaidia wajane,yatima na wasiojiweza.Sasa km unapata pesa halafu hutoi sadaka hapo unakuwa umefungua mlango wa shetani kukuibia pesa yako.Nimeelewa vizuri..ila kwenye majini sijapaelewa,wanaibaje pesa mkuu?..nilitegemea tunaishia kwenye mvuto labda wa kibiashara i.e wateja wataongezeka n.k au kupanda cheo means kupata mshahara wa juu na marupurupu zaidi..
Majini yatachotaje hela hapa na kuzipeleka pale,kirahisi tu hivyo?
mtu ambae hajafa unamfufuaje, au hawajui maana ya kufufuaAnafufua ambao hawajafa kabisa.