Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021

Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021

Huyu jamaa nilionana nae anawapaka watu oliver oil anadai mafuta ya upako na watu wanaanguka kabisa. Kuja kucheck ni olive oil original.
Aah nikaachana na mahubiri yao, nilikua hapo kwa kazi ingine anyway.
Pole kwa msiba Mchungaji [emoji120]
Matapeli sana hawa wachungaji
 
Ila ukiwa huko husikii la mtu .... miujiza ndio inayopumbaza na kufanya uwaamini hawa watu kila wasemacho ili mradi kuna ka mstari cha biblia kanasindikiza hoja. Ila ni hatari sana hasa kwa roho changa!
 
Hujajibu swali langu mkuu..pesa inapatikanaje?
Kwanza mhusika lazma aingie makubaliano maalum ya kichawi/ kishirikina kuhusu kutoa kafara ya damu ili afanikiwe kile anachokitaka.Inaweza kuwa mafanikio ya kibiashara,kupanda cheo kazini, kupata nguvu za miujiza, mvuto, n.k.Sasa mkata unamakubaliano yake ya kafara.

Kuna makubaliano ya kutoa kafara ya idadi fulani ya watu kila mwisho wa mwezi,mwisho wa mwaka n.k Damu ya inayotolewa ni chakula muhimu cha majini,mapepo, maruhani na wachawi. Majini wanachokifanya ni kuiba pesa kutoka kwa watu wengine wasio wanachama wao na wasio na imani thabiti ya Mungu. Hope umeelewa japo kwa uchache
 
Nimeelewa vizuri..ila kwenye majini sijapaelewa,wanaibaje pesa mkuu?..nilitegemea tunaishia kwenye mvuto labda wa kibiashara i.e wateja wataongezeka n.k au kupanda cheo means kupata mshahara wa juu na marupurupu zaidi..

Majini yatachotaje hela hapa na kuzipeleka pale,kirahisi tu hivyo?
 
Binti huyo aitwae Israella (8) alifariki siku ya jumatatu tar 29/3 nchini Kenya alipokua anapatiwa matibabu kutokana na matatizo ya mapafu. Hata hivyo, familia imelalamikia kitendo cha serikali ya Malawi kuizuia kuruka ndege binafsi iliyokua unamuwahisha mtoto huyo hospitali na hivyo kusababisha mtoto huyo kuchelewa kupata matibabu, kitendo ambacho madaktari wanasema kinawezekana kuwa kimesababisha kifo chake. RIP.

Source BBC

View attachment 1740432View attachment 1740435
Gwajima type
 
mtoto wa nabii anakufa tena kwa ugonjwa? kweli wajinga ndio waliwao...
Hio ni kawaida ni binadamu anaepitia changamoto km binadamu wengine. Kua nabii,mufti,papa,president haikufanyi wewe usife au usipitie changamoto za hali ya kibinadamu.
Mitume,manabii,mapapa kwenye vitabu vya dini walipitia changamoto kama za binadamu wa leo
Msimuhukumu mtu kwa classes aliyopo
Tufanye maisha tutafute pesa,mengine tumuachie Mungu tusi judge vitu saaaaaaaaana
 
Nimeelewa vizuri..ila kwenye majini sijapaelewa,wanaibaje pesa mkuu?..nilitegemea tunaishia kwenye mvuto labda wa kibiashara i.e wateja wataongezeka n.k au kupanda cheo means kupata mshahara wa juu na marupurupu zaidi..

Majini yatachotaje hela hapa na kuzipeleka pale,kirahisi tu hivyo?
Huwa wanaiba kuna mganga alikuwa rafiki yangu walipanga wakaibe bank kwa uchawi, walipambana haswa na nguvu ya kule walifanikiwa kupata laki moja tu
 
Jana ofisini nimesema jamaa katoa kafara binti yake asee nililetewa mtiti na boss ( mwanamke) mpaka nikaomba msamaha[emoji16][emoji16]

Mpaka niliambiwa eti tayari nimeshatupiwa laana[emoji848]

NB

Sitaki tena mazoea na walokole, nahisi vichwa vyao vimejaa maruweruwe

Walokole wako tayar kufa kwa ajili ya wachungaji wao Sijui nan aliwaroga
 
Itakua ndugu yake CAR-BOOD
Yaan yule mama alikuwa anaongea mpaka mimate inamtoka...duh nikaomba msamaha yaishe!

Ila sitaingilia tena mambo yao wala kujumuika nao, hawako sawa walee[emoji848]
 
Nimeelewa vizuri..ila kwenye majini sijapaelewa,wanaibaje pesa mkuu?..nilitegemea tunaishia kwenye mvuto labda wa kibiashara i.e wateja wataongezeka n.k au kupanda cheo means kupata mshahara wa juu na marupurupu zaidi..

Majini yatachotaje hela hapa na kuzipeleka pale,kirahisi tu hivyo?
Iko hivi mkuu mimi ni Mkristo, Biblia imetuagiza tuishi maisha yaliyo safi, lakini vilevile tumeagizwa kumtolea Mungu fungu la kumi,sadaka, shukurani, kuwasaidia wajane,yatima na wasiojiweza.Sasa km unapata pesa halafu hutoi sadaka hapo unakuwa umefungua mlango wa shetani kukuibia pesa yako.

Sasa Shetani anaibaje pesa? Ni hivi:-

1.Kwanza,Anakuletea matatizo yanayohitaji matumizi ya pesa km magonjwa,kesi,na matatizo mengine ya kifamilia ili tu utumie pesa na kwa mazingira ya kichawi hiyo pesa huenda kwao.

2.Pili Kumpa mtu mawazo ya kutumia pesa ovyoovyo kwa starehe mfano kubeti( kamali),Ulevi,Kupenda wanawake, na starehe zote zinazotumia pesa.

Elewa kwamba shetani hufanya kazi na fikra au mawazo yetu.Hivyo yeye hutuma pigo(Astral or psychic attack) ambayo huja kuamuru mtu afanye tendo fulani ili kutokana na hilo tendo basi kutokee hasara fulani.Halafu ukishaharibikiwa ndo unarudishiwa ufahamu na akili yako ya kawaida. Hapo ndipo majuto hufuata.

3.Kufanya matumizi yasiyo ya msingi.Unaweza pata pesa halafu ghafla ukasahau kufanya mambo ya msingi uliyokuwa umepanga na kujikuta unanunua visivyo na maana,kufumba na kufumbua pesa yote imeisha.

4.Kupoteza pesa.Unaweza shangaa ghafla pesa huzioni na hujui umepotezaje

5.Pia kupitia kuzulimiwa na watu. Unaweza kuta pesa nyingi unayopata unaishia kudhulumiwa na watu.
Hivyo pesa hii inayopotea kwasababu tajwa hapo juu huenda kimiujiza katika mabenki ya kuzimu na Shetani kuzigawa tena kwa watu wanaokuwa tayari kutimiza masharti. Mwisho wa siku humuacha mtu akiwa bila pesa,au akiwa na pesa kidogo isiyokidhi mahitaji yake ya msingi.

Njia pekee ya kumzuia Shetani asiibe pesa yako ni kutoa sadaka km Mungu alivyoagiza na pindi shetani akijaribu kuiba pesa yako anakutana na ulinzi wa Mungu.Maana katika Biblia Mungu kaagiza kuwa tukimtolea sadaka atalinda afya zetu,mali,zetu, watoto na hata wajakazi wetu dhidi ya yule mwovu( Ibirisi).

Bado una swali?
 
Back
Top Bottom