Mkuu mahitaji yote unampa!!!!?π€π€π€ Hoja ni neno yoteHabari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Haumpi mahitaji yote ndio maana anaondoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mama yake angekua anakaa kwao mpaka leo ungempata wapi[emoji848]Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Miaka 24 unamtimizia nini!!?Anayo 24
NAKAZIAUnampa mahitaji yote?
Kuna vitu anahitaji kwako anavikosa
πππBaba mkwe nipe namba ya mwanao
πHaumpi mahitaji yote ndio maana anaondoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mama yake angekua anakaa kwao mpaka leo ungempata wapi[emoji848]
ππEti.....
Nikiangalia nyumbani Kuna kila kitu.
Kila kituuu??
π€£π€£π€£Kwaio akifa na mbususu nzima....huko mbinguni anamlingishia nani?
πππ€£π€£π€£Anza kuandaa Pampers na ARV's zisiwe mbali nae kwa Matumizi ya Maandalizi ya Maamuzi aliyoyachukua.
ππππMwaliko basi ili tule pilau
Na uchague bridesmaid pisi kali wenye tako niopoe mmojaππππ
ππLabda ameshakutana na sitaki ndoa anataka kumpa ujauzito. Mwambie kuwa huo uhuru anaotaka una hatari zake, na ww mzazi hutakuwa na la kufanya zaidi ya kumsikitikia pale hatari hizo zitakapomwangusha. Mpe mifano hai unayoifahamu halafu muache aamue.
πππππkila kitu tayari bado bwana harusi tuNa uchague bridesmaid pisi kali wenye tako niopoe mmoja
Humpi kila kitu..!!! Mshedede unampa wewe..!? Kapata Bwana huyoHabari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Mamdogo, familia si imekataa lakini?ππππnaolewa soon
sana sana sanaMama yako ni mwanamke anayejitambua sana. Na anakupenda sana. Asingefanya hivyo angekuwa amekutoa kafara.