Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Kwa mila zetu kwa miaka ya zamani binti miaka 24 kama hajaolewa baso bado ni mtoto wa mama na huenda akawa bado bikra na anakaa nyumbani na kupangiwa kila kitu cha kufanya na wazazi wake
 
Huyu sasa ndio Mama. Sio hawa wa mwendokasi
 
Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Hapana unakubali unampoteza mapema sana ....muache awe hapo home
 
Nataka nikamkabidhi! Namuombea maisha marefu na yenye amani zaidi. Juzi tarehe 13 Mama yangu alitimiza miaka SITA kaburini. Kama uko na mzazi mpende sana
yupo kwake hukoooo, aaamyn mkuu huyu ni mzazi wangu aliebakia baada ya kumzika baba yangu karibu miaka kumi na tano iliyopita, pole sana mkuu kuondokea n kugumu hasa awe ni mtu wako muhim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…