Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

Nina wasiwasi na madhara ya kuku wa kisasa, yai la kisasa, chanjo ya COVID, chanjo za kansa ya mlango wa kizazi n.k
 
Huu sio mda wa kufocus na matiti ya binti yako, bali focus na akili yake.
Anza kumjenga kujiamin, kujithamini na kujikubari, mfundishe hakuna mtu wakumfanya ajione amekamilika zaidi ya yeye mwenyewe kujikubali. Mjenge kiakili zaid kuliko kiumbo maana ata kama akipata chuchu saa 6 kama ana akili atayatumia kujiona bora na kama kitega uchumi.
 
Akapimwe hospitali inawezekana chini hatoi ila watu wanayanyonya Sana hayo.
 
Haya makuku ya kisasa yanawafumua watoto wanakua mapema...
 
Kuna namna huwa yanafanywa na mwiko kupashwa moto kwa mafigo matatu hayakui sana nakulala haraka nyonyo inabaki hivo hivo nimeona wa kijijini,
Pia hyo inaweza kuwa biological make-up karithi maana sikuhizi vibinti vya under 18 nyonyo zimelala kuliko sisi wakomgwe
 
Kuna nyuzi bila ya uwepo wa picha ni sawa na kutazama movie bila sauti...
 
Mkuu umepata wapi ujasiri wa kumchunguza binti haya mambo yote? Achana na mtoto wa kike aisee,me huwa sihangaiki kabisa na binti yangu.Ila miongozo ya maisha nimempa
Aachane na mtoto wake? Are you serious?
 
Mjengee mtoto kujiamini ewe baba, hizi habari za kuwa eti matiti yamekuwa makubwa mno na yanalala ni mambo ya kutofikiriwa kwa sasa.

BTW sio kwamba amerithi kwa mama, shangazi, bibi nk
? Angalia kwenu au kwa mke wako, wao wakoje?
 
Back
Top Bottom