Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Hormonal imbalances
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mpumbavuMkuu umepata wapi ujasiri wa kumchunguza binti haya mambo yote? Achana na mtoto wa kike aisee,me huwa sihangaiki kabisa na binti yangu.Ila miongozo ya maisha nimempa
Huu ni ulemavu!!!!View attachment 2279243Kula mtindiiiiii babaaaaaa wapi dada ADRIZ na kati ya Sinza kwa Mugabee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna nyuzi bila ya uwepo wa picha ni sawa na kutazama movie bila sauti...
Aachane na mtoto wake? Are you serious?Mkuu umepata wapi ujasiri wa kumchunguza binti haya mambo yote? Achana na mtoto wa kike aisee,me huwa sihangaiki kabisa na binti yangu.Ila miongozo ya maisha nimempa
Mimi nina binti pacha wa miaka kumi nakaaga nao chini napanga nao mikakati ya kuepusha shari za kiumeSamahani mdau Ila sikuoni Kama baba Bora kabisa.
watoto wa kike huwa wanajengeka vyema hasa kwa kujiamini wanapokua karibu zaidi na wazazi wao wa kiume