Birthday yangu inakaribia, sina amani wala furaha, na sifurahii kitu

Watoto wawili ni kuzaa hovyo? Unajua plan yangu ya maisha? Nyie mahanithi na wagumba ulemavu wenu unatuletea kero tu
Ungekuwa umezaa na mwanamke mmoja sawa! Ila kila mtoto na mama yake kisha unakataa huzai hovyo.
 
Samahani natoka nje ya mada.Ivi hili suala la mwanaume mzima kusema Bethdei yangu ivi hua mnakua sirias kweli?
Yaani kabisa unapata mda wa kukumbuka siku yako ya kuzaliwa?
Kweli wenzetu maisha hayawapi shida kabisa[emoji849]
 
Samahani natoka nje ya mada.Ivi hili suala la mwanaume mzima kusema Bethdei yangu ivi hua mnakua sirias kweli?
Yaani kabisa unapata mda wa kukumbuka siku yako ya kuzaliwa?
Kweli wenzetu maisha hayawapi shida kabisa[emoji849]
Birthday sio sherehe ni ukumbusho kukushtua tu, bro unazeeka umefanya nini hadi sasa?
 
Ndo umwagiwe na maji ? Mbaya zaidi umetulia tuliii mwanaume mzima!!
Hizi tamaduni za kimagharibi tuwaachie wenyewe [emoji57]
At my age of 49 yrs sijawahi kumwagiwa maji. Wala kamwe haitokuja kutokea. Nyie kizazi cha mashoga mnamwagiwa mwagiwa kila kitu
 
Huu msemo una ukweli mkubwa ndani ya maisha yangu. Naweza sema hili si la kulipuuza huu wakati unaopitia muweke Mungu mbele, unatakiwa kumuaminisha Mungu kuwa hakuwa wa kutatua hii changamoto ninayopitia zaidi yako Mungu. Hakika atakupigania na utashinda. Ila ukiyumba tu kufanya maamuzi yako mwenyewe umekwisha. Mungu akakutendee miujiza na yakawe mapito tu.
 
Huyo mama yake naye wanaroho ngumu.yan umepitia mtatizo hatak uwone watoto .mmmh.aulimnyanyasa b4
 
Nenda kwa mwamposa kwanza
Utuletee ushuhuda maana kila siku watu wanatoa ushuhuda na hakuna mmoja namfahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…