Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,651
Reaction score
1,129
Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa

Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na utapeli wa Imani ajikite kwenye siasa nikama anaeleweka

Maisha yake yote ni kuzungumza uongo kuhusiana na Shetani pamoja na kushutumu watu kuwa ni wachawi

Ameharibu mahusiano ya familia nyingi sana Tanzania

Waumini wake ndio hao wanaoshutumu ndugu na wazazi wao kuwa ni Wachawi

Baadhi ya waumini wake wamejizolea laana za Wazazi wao kwa kuwashutumu kuwa ni Wachawi

Kuhusiana na Shetani hakuna chochote anachokifahamu kwasababu Shetani hachunguziki na wala hakuna binadamu mwenye uwezo wa kufahamu siri zake

Mnayosikia yote hayo ni propaganda za misleading

Ajikite kwenye siasa atetee Wananchi ila tabia ya kuwatapeli kiimani aachane nayo

Gwajima ni mwanasiasa mzuri sana aachane na propaganda za Shetani (misleading) huo ni utapeli wa kiimani
Aachane na utapeli ajikite kwenye siasa safi ili asaidie Wananchi

Ibada zake hana jipya zaidi ya mada za Shetani anajipatia fedha kwa kutumia mgongo wa Shetani yaani kuwapa hofu Waumini wake wampe fedha za maombi ili awaombee bila hivyo Shetani atawadhuru
Nashauri afanye tu siasa aachane na utapeli
 
Pakome wa Buku Saba za CCM!
 
Hata wewe pia jiangalie una shida mkuu
Hapana, Gwajima ni mwanasiasa mzuri sana aachane na propaganda za Shetani (misleading) huo ni utapeli wa kiimani
Aachane na utapeli ajikite kwenye siasa safi ili asaidie Wananchi
 
Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa

Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na utapeli wa Imani ajikite kwenye siasa nikama anaeleweka

Maisha yake yote ni kuzungumza uongo kuhusiana na Shetani pamoja na kushutumu watu kuwa ni wachawi

Ameharibu mahusiano ya familia nyingi sana Tanzania

Waumini wake ndio hao wanaoshutumu ndugu na wazazi wao kuwa ni Wachawi

Baadhi ya waumini wake wamejizolea laana za Wazazi wao kwa kuwashutumu kuwa ni Wachawi

Kuhusiana na Shetani hakuna chochote anachokifahamu kwasababu Shetani hachunguziki na wala hakuna binadamu mwenye uwezo wa kufahamu siri zake

Mnayosikia yote hayo ni propaganda za misleading

Ajikite kwenye siasa atetee Wananchi ila tabia ya kuwatapeli kiimani aachane nayo

Gwajima ni mwanasiasa mzuri sana aachane na propaganda za Shetani (misleading) huo ni utapeli wa kiimani
Aachane na utapeli ajikite kwenye siasa safi ili asaidie Wananchi

UKIONA HIVYO UJUE KUWA MTU HUYO NDIO ANAABUDU HAYO MASHETANI, KWA SABABU HUWEZI KUMDHANIA MTU KAMA NA WEWE SIO MMOJA WAPO.
NDIO YEYE AMECHANGIA KIASI KIKUBWA SANA HAYA MAUAJI KWA SABABU ANAJIJALI YEYE TUU HUKU AKIWATAPELI WAUMINI WAKE KUWACHONGANISHA NA FAMILIA ZAO KAMA ULIVYOSEMA.
YUMO NA YEYE KATIKA LILE GROUP LA WATU WA NJE PAMOJA NA WA TANZANIA WALIOKUWA WANAPANGA WALIYOYAPANGA.
 
Typical satanic works: kumpa shetani sifa za MUNGU.

Eti hachunguziki.

Aliyemuwezesha mpaka huyo shetani akawepo, Muumba wa kila kitu, ndiye ambaye hachunguziki.

"Mwenyezi-Mungu ni mkuu, astahili sifa nyingi; ukuu wake hauwezi kuchunguzika."
Zaburi.145.3.BHN

Shetani yuko UCHI, kazi zake ziko wazi:

Kumkataa MUNGU,
Kujifananisha na MUNGU,
Kwenda kinyume na MUNGU (sheria zake),
Kumkataa YESU mwana wa MUNGU.

"Lakini atendaye dhambi ni wa Ibilisi, maana Ibilisi ametenda dhambi tangu mwanzo. Lakini Mwana wa Mungu alikuja duniani kuiharibu kazi ya Ibilisi."
1Yohana.3.8.BHN

(n.b: sijawahi kwenda kwenye kanisa la Gwajima)
 
UKIONA HIVYO UJUE KUWA MTU HUYO NDIO ANAABUDU HAYO MASHETANI, KWA SABABU HUWEZI KUMDHANIA MTU KAMA NA WEWE SIO MMOJA WAPO.
NDIO YEYE AMECHANGIA KIASI KIKUBWA SANA HAYA MAUAJI KWA SABABU ANAJIJALI YEYE TUU HUKU AKIWATAPELI WAUMINI WAKE KUWACHONGANISHA NA FAMILIA ZAO KAMA ULIVYOSEMA.
YUMO NA YEYE KATIKA LILE GROUP LA WATU WA NJE PAMOJA NA WA TANZANIA WALIOKUWA WANAPANGA WALIYOYAPANGA.
Yule Ibada zake hana jipya zaidi ya mada za Shetani anajipatia fedha kwa kutumia mgongo wa Shetani yaani kuwapa hofu Waumini wake wampe fedha za maombi ili awaombee bila hivyo Shetani atawadhuru
Nashauri afanye tu siasa aachane na utapeli
 
Mkuu unamuonaje Baba Levo lakini ?
Baba Levo anapaswa kuongeza taaluma yake ikiwezekana asomee Uchumi na Sheria ili elimu hii imsaidie kufumbua mikakati ya kukuza Uchumi wa Taifa pamoja na kutunga Sheria za nchi
 
1762884106003.jpeg
 
Pakome leo umepewa kazi nguvu...

Serikali yenu ndio ilianza kuzuia mawazo mbadala na kufungia vyombo vya habari matokeo yake ndiyo haya... Hata mje na propaganda ipi wananchi wameshaamua kusikiliza na kuamini kitu tofauti na chenu
 
Usiogope wakati ujao nitazungumzia upande wa Serikali leo nimeanza na upande wa Wananchi
 
Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa

Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na utapeli wa Imani ajikite kwenye siasa nikama anaeleweka

Maisha yake yote ni kuzungumza uongo kuhusiana na Shetani pamoja na kushutumu watu kuwa ni wachawi

Ameharibu mahusiano ya familia nyingi sana Tanzania

Waumini wake ndio hao wanaoshutumu ndugu na wazazi wao kuwa ni Wachawi

Baadhi ya waumini wake wamejizolea laana za Wazazi wao kwa kuwashutumu kuwa ni Wachawi

Kuhusiana na Shetani hakuna chochote anachokifahamu kwasababu Shetani hachunguziki na wala hakuna binadamu mwenye uwezo wa kufahamu siri zake

Mnayosikia yote hayo ni propaganda za misleading

Ajikite kwenye siasa atetee Wananchi ila tabia ya kuwatapeli kiimani aachane nayo

Gwajima ni mwanasiasa mzuri sana aachane na propaganda za Shetani (misleading) huo ni utapeli wa kiimani
Aachane na utapeli ajikite kwenye siasa safi ili asaidie Wananchi

Ibada zake hana jipya zaidi ya mada za Shetani anajipatia fedha kwa kutumia mgongo wa Shetani yaani kuwapa hofu Waumini wake wampe fedha za maombi ili awaombee bila hivyo Shetani atawadhuru
Nashauri afanye tu siasa aachane na utapeli
Mbona kwa maelezo yako unajifanya unamjua sana shetani, kama umeweza kubaini kuwa hachunguziki inamaana ulimchunguza mpaka ukaweza kulibaini hilo.
Hapo point yako nikwamba unataka tuamini kuwa unamjua shetani zaidi ya Gwajima anavyomjua.
 
Back
Top Bottom