Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa
Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na utapeli wa Imani ajikite kwenye siasa nikama anaeleweka
Maisha yake yote ni kuzungumza uongo kuhusiana na Shetani pamoja na kushutumu watu kuwa ni wachawi
Ameharibu mahusiano ya familia nyingi sana Tanzania
Waumini wake ndio hao wanaoshutumu ndugu na wazazi wao kuwa ni Wachawi
Baadhi ya waumini wake wamejizolea laana za Wazazi wao kwa kuwashutumu kuwa ni Wachawi
Kuhusiana na Shetani hakuna chochote anachokifahamu kwasababu Shetani hachunguziki na wala hakuna binadamu mwenye uwezo wa kufahamu siri zake
Mnayosikia yote hayo ni propaganda za misleading
Ajikite kwenye siasa atetee Wananchi ila tabia ya kuwatapeli kiimani aachane nayo
Gwajima ni mwanasiasa mzuri sana aachane na propaganda za Shetani (misleading) huo ni utapeli wa kiimani
Aachane na utapeli ajikite kwenye siasa safi ili asaidie Wananchi
Ibada zake hana jipya zaidi ya mada za Shetani anajipatia fedha kwa kutumia mgongo wa Shetani yaani kuwapa hofu Waumini wake wampe fedha za maombi ili awaombee bila hivyo Shetani atawadhuru
Nashauri afanye tu siasa aachane na utapeli