Pakome wa Buku Saba za CCM!Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa
Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na utapeli wa Imani ajikite kwenye siasa nikama anaeleweka
Maisha yake yote ni kuzungumza uongo kuhusiana na Shetani pamoja na kushutumu watu kuwa ni wachawi
Ameharibu mahusiano ya familia nyingi sana Tanzania
Waumini wake ndio hao wanaoshutumu ndugu na wazazi wao kuwa ni Wachawi
Baadhi ya waumini wake wamejizolea laana za Wazazi wao kwa kuwashutumu kuwa ni Wachawi
Kuhusiana na Shetani hakuna chochote anachokifahamu kwasababu Shetani hachunguziki na wala hakuna binadamu mwenye uwezo wa kufahamu siri zake
Mnayosikia yote hayo ni propaganda za misleading
Ajikite kwenye siasa atetee Wananchi ila tabia ya kuwatapeli kiimani aachane nayo
Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa
Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na utapeli wa Imani ajikite kwenye siasa nikama anaeleweka
Maisha yake yote ni kuzungumza uongo kuhusiana na Shetani pamoja na kushutumu watu kuwa ni wachawi
Ameharibu mahusiano ya familia nyingi sana Tanzania
Waumini wake ndio hao wanaoshutumu ndugu na wazazi wao kuwa ni Wachawi
Baadhi ya waumini wake wamejizolea laana za Wazazi wao kwa kuwashutumu kuwa ni Wachawi
Kuhusiana na Shetani hakuna chochote anachokifahamu kwasababu Shetani hachunguziki na wala hakuna binadamu mwenye uwezo wa kufahamu siri zake
Mnayosikia yote hayo ni propaganda za misleading
Ajikite kwenye siasa atetee Wananchi ila tabia ya kuwatapeli kiimani aachane nayo
Gwajima ni mwanasiasa mzuri sana aachane na propaganda za Shetani (misleading) huo ni utapeli wa kiimani
Aachane na utapeli ajikite kwenye siasa safi ili asaidie Wananchi
Yule Ibada zake hana jipya zaidi ya mada za Shetani anajipatia fedha kwa kutumia mgongo wa Shetani yaani kuwapa hofu Waumini wake wampe fedha za maombi ili awaombee bila hivyo Shetani atawadhuruUKIONA HIVYO UJUE KUWA MTU HUYO NDIO ANAABUDU HAYO MASHETANI, KWA SABABU HUWEZI KUMDHANIA MTU KAMA NA WEWE SIO MMOJA WAPO.
NDIO YEYE AMECHANGIA KIASI KIKUBWA SANA HAYA MAUAJI KWA SABABU ANAJIJALI YEYE TUU HUKU AKIWATAPELI WAUMINI WAKE KUWACHONGANISHA NA FAMILIA ZAO KAMA ULIVYOSEMA.
YUMO NA YEYE KATIKA LILE GROUP LA WATU WA NJE PAMOJA NA WA TANZANIA WALIOKUWA WANAPANGA WALIYOYAPANGA.
😂😂😂Unamtetea shetani ni mmeo?
Mkuu unamuonaje Baba Levo lakini ?Utachelewa sana kufahamu ninachozungumza
Usiogope wakati ujao nitazungumzia upande wa Serikali leo nimeanza na upande wa WananchiPakome leo umepewa kazi nguvu...
Serikali yenu ndio ilianza kuzuia mawazo mbadala na kufungia vyombo vya habari matokeo yake ndiyo haya... Hata mje na propaganda ipi wananchi wameshaamua kusikiliza na kuamini kitu tofauti na chenu
Mbona kwa maelezo yako unajifanya unamjua sana shetani, kama umeweza kubaini kuwa hachunguziki inamaana ulimchunguza mpaka ukaweza kulibaini hilo.Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa
Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na utapeli wa Imani ajikite kwenye siasa nikama anaeleweka
Maisha yake yote ni kuzungumza uongo kuhusiana na Shetani pamoja na kushutumu watu kuwa ni wachawi
Ameharibu mahusiano ya familia nyingi sana Tanzania
Waumini wake ndio hao wanaoshutumu ndugu na wazazi wao kuwa ni Wachawi
Baadhi ya waumini wake wamejizolea laana za Wazazi wao kwa kuwashutumu kuwa ni Wachawi
Kuhusiana na Shetani hakuna chochote anachokifahamu kwasababu Shetani hachunguziki na wala hakuna binadamu mwenye uwezo wa kufahamu siri zake
Mnayosikia yote hayo ni propaganda za misleading
Ajikite kwenye siasa atetee Wananchi ila tabia ya kuwatapeli kiimani aachane nayo
Gwajima ni mwanasiasa mzuri sana aachane na propaganda za Shetani (misleading) huo ni utapeli wa kiimani
Aachane na utapeli ajikite kwenye siasa safi ili asaidie Wananchi
Ibada zake hana jipya zaidi ya mada za Shetani anajipatia fedha kwa kutumia mgongo wa Shetani yaani kuwapa hofu Waumini wake wampe fedha za maombi ili awaombee bila hivyo Shetani atawadhuru
Nashauri afanye tu siasa aachane na utapeli