Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki

Andika tapeli au askofu wa kujipachika Josephat Gwajima tapeli wa kunuka aliyegeuka chawa akidhani angewatumia machawa wakaishia kumstukia na kumbwaga na sasa anahaha akipiga makelele. Hili na Msiba ni mijitu ya hovyo kuliko hata majambazi.
 
Ewaa, tapeli wa Kiimani ana kipaji cha siasa kikubwa lakini hataki kukitumia vizuri
 
Mbona alijaribu kukitumia na sasa analia baada ya kuumbuliwa? Hana lolote ni nyumbu wa kawaida asiye na elimu yoyote. Niamini. Atakufa kama tapeli wake wa Nigeria TB Joshua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…