Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

🤣 🤣 🤣
 
Ilikuwa simple tu,unatuma twenty,unasubmit majina yako na namba ya Simu,faster unaende ku-dowload na kuprint......kuna jamaa alikuwa kituo fulani DSM,amejenga kwasababu ya zoezi la chanjo......maana binafsi nilimuunganisha na watu zaidi ya 30
🤔🤔🤔
 
Wewe ni wale wajuaji wasio na maana, una uthibitisho gani JPM alikuwa na betrii ya moyo? Walio kwambia alikufa kwa betri kufeli ndio wanahisiwa kuhusika na kifo chake, na baada ya kufa kwake ndio hao umewaona wakijitahidi sana kumchafua hata huko kaburini. Nikuulize, mbali na JPM uliwahi sikia tarifa ya habari ya mtu kufa kwa kufeli betrii ya Moyo?

Hizo device(PACE MAKER) zinatengenezwa kwa teknolojia kuzidi hata ile ya satelaiti, maana yake hazitegemewi kufeli kabla ya muda wake wa matumizi kuisha na kubadilishwa. Na ikitokea imefeli(ni kazi ya binaadam) hutasikia imetangazwa kwa maana ni kuua soko la kampuni husika.

Pia uelewe hizi kampuni haziuzi vifaa vyake madukani huwa zinaingia ubia na hos[itali husika inayopandikiza na kukiwa na shida zinapewa taarifa na madakatri hulipwa pesa waseme chanzo cha kifo tofauti kama shida ilikuwa ni kifaa. Sasa jiulize kwa hapa Tanzania ni hospitali gani wanapandikiza PACE MAKER? Kama alipandikizwa nje ilikuwaje alazwe Tanzania kwa shida wasiyoiweza, kwa mtu wa cheo cha Rais, huoni kama ni jokes.
 
Kwa Tanzania anayestahili credits ni Magufuli ndiye aliyepinga na wakati wake hizo chanjo hazikulettwa nchini.

Gwajima naye alichangia kwa kupinga chanjo lakini siye aliyesababisha labda kwa wafuasi wake tu kwa sababu baada ya Magufuli chanjo ziliingizwa nchini. Watanganyika wengi tunaojielewa hatukuchanja na bado tunadunda bika shida.
 
Huyu ni National figure,

Si mbunge wa Dar pekee!!

Hivi Mtanzania maskini, Damu igande, atajinasua vipi?
Alishinda ubunge wenyewe hata ndani ya CCM yenyewe??
 
Hata quinine kali ya kutibu malaria iliwahi kuwepo na kuondolewa, vijana wa juzi hamuwezi kujua hayo mambo.
 
Mimi nimezika ndugu na Jirani jumla wawili Kwa case ya kuganda Damu sababu ya Chanjo feki ya COVID .
Labda ni ujinga au uzembe wa ndugu zako kutumia chanjo feki.
 
The telegram newspaper UK, limeripoti pale Uingereza pekee, Kuna case zaidi ya 50 court wananchi wanashtaki kampuni hizi za Chanjo fake Kwa vifo na kuganda Damu zitokanazo na Chanjo fake.

Unasemaje hapo?
Kuna kesi ngapi mahakamani kwa watu waliopata uziwi na upofu kutokana na kutumia dawa ya quinine kutibu malaria??
 
Na wizara ya AFYA imeripoti kuwa ,Watanzania Milioni 32 wamekwisha chanja Chanjo zilizothibitika ni za majaribio.

Nani awajibike Kwa hili?

Kwani watu walilazimishwa kuchanjwa?
 
Ilikuwa simple tu,unatuma twenty,unasubmit majina yako na namba ya Simu,faster unaende ku-dowload na kuprint......kuna jamaa alikuwa kituo fulani DSM,amejenga kwasababu ya zoezi la chanjo......maana binafsi nilimuunganisha na watu zaidi ya 30
Tanzania inashangaza sana, nimeona pia huko Arusha watu wanatengeneza hadi control number feki kuchepusha na kuiba mapato ya serikali!
 
Haya mambo haya bhana
 
Kwa Tanzania hali ni mbaya sana. Hasa vijijini wananchi walilazimishwa kuchanjwa hizo chanjo za mkopo, yaani mwananchi alikuwa hawezi kutibiwa kama hajachanja na hii ilipelekea watu wengi kuacha kwenda hospital. Na hili la chanjo nadhani Dkt Samia anawajibika moja kwa moja.
 
Ilikuwa simple tu,unatuma twenty,unasubmit majina yako na namba ya Simu,faster unaende ku-dowload na kuprint......kuna jamaa alikuwa kituo fulani DSM,amejenga kwasababu ya zoezi la chanjo......maana binafsi nilimuunganisha na watu zaidi ya 30
Tanzania inashangaza sana, nimeona pia huko Arusha watu wanatengeneza hadi control number feki kuchepusha na kuiba mapato ya serikali!
 
Kwani zile dawa alizoleta Kabudi kutoka Madagascar bado zipo??

Lile banda la kujifukiza nyungu pale Muhimbili bado lipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…