zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
We kichaa kweli, yaani taarifa rasmi ya serikali inasema alikua anatumia pacemaker alafu wewe unayeishi porini ndio unajua ukweli? Huo ndio ujuaji sasa. Hilo jamaa lilisema tusitumie chanjo wala barako tumtegemee Mungu cha ajabu yeye badala ya kumtegemea Mungu kwenye ugonjwa wa moyo, akaanza kutumia betri la mzungu!! Kama sio unafiki ni nini?wale wajuaji wasio na maana, una uthibitisho gani JPM alikuwa na betrii ya moyo?
Sio kweli, tuna inferiority complex tu. Mfano sasa bila ARV au chemotherapy tutapoteza wangapi kwa UKIMWI na saratani? Kwahiyo kipi bora TIBA au MADHARA YA TIBA?Zote Zina madhara ila zipo tunazoletewa kwa mkakati na kazi maalum kutumaliza!
Mkono wa baunsa π€£π€£Mch. Josephat Gwajima, a man of God and integrity.
Alishinda nini? Hao waliotumiq chanjo huko ulaya hawakupona Covid 19 baada ya chanjo? Huyo aliyeshinda Mbona alikufa kwa Covid 19? Unajua Mungu hapendi unafiki maana alisema chanjo tuache tumtegemee Mungu sasa badala nayeye amtegemee Mungu, akawa anatumia pacemaker ya mzungu kusukuma moyo!! Huu unafiki ndio ulimmalizaHapa niliungana na magufuli vita ilikuwa kubwa sana.ila alishinda.
Leta source sio screenshot
Hizo zote zinatakiwa kupigwa marufuku na KUFUTWA.Vipi ARVs unaonaje na zenyewe zikapingwa? Au hazina side effects? Chanjo ya manjano na homa ya ini hazina madhara? Chemotherapy vipi?
Saa nyingine tuache ujuaji, zile chanjo ilisaidia wengi. Kama zilivyo dawa nyingine, side effects zipo na kwa baadhi ya watu zinaweza kuwa na reaction mbaya na hata kusababisha vifo. Ni mara ngapi hapa Tanzania watu hufariki kwa reaction mbaya ya dawa za Malaria ? Je utasema hizo dawa ni feki?Acha Ujinga basi,
Imethibitika, Chanjo ya ASTRA ZENECA haifai Kwa matumizi ya binadamu,
COVID haihusiani na Chanjo feki,
Mafuta Hadi Leo yapo, vumbi lote hili usipate mafia kisa umechanja, huoni ni ugonjwa huo?
Lazima upate mafia Kutoa vumbi kwenye mapafu.
Covid mix ikasepa nae..Ipo siku mtanikumbuka sikwamabaya nikwamema. JPM
Watashitakiwa MIGA!Cha kushangaza,
Pamoja na Chanjo hizo kuondolewa soko la Dunia,
Hakuna tamko lolote Toka wizara ya AFYA kuzuia watu kuchanjwa Chanjo za majaribio!!!
Mhhhh!Huyu ni National figure,
Si mbunge wa Dar pekee!!
Hivi Mtanzania maskini, Damu igande, atajinasua vipi?
π π π π π π π tunamuamin ndo maana tunasubiri meli za uvuvi...na ile exchange program.......na pia alituwakilisha vyema tu kwa kavideoImethibitika kuwa,
Bishop Gwajima, ni mtu anayepaswa kuaminiwa na Watanzania.
Abarikiwe.
π π π π π π π tunamuamin ndo maana tunasubiri meli za uvuvi...na ile exchange program.......na pia alituwakilisha vyema tu kwa kavideoImethibitika kuwa,
Bishop Gwajima, ni mtu anayepaswa kuaminiwa na Watanzania.
Abarikiwe.
Ndio maana damu zitaanza kuganda mdogo mdogoNa wabunge wetu,
Walichanja hadharani Chanjo za majaribio kutuaminisha kuwa ni salama.
UZALENDO uko wapi?
Huyo jamaa huwa ana upumbavu mwingi sanaAcha Ujinga wewe,
Nini maana ya Chanjo kuondolewa kwenye soko la Dunia,
Kwamba hazifai, zisitumike tena?
Huoni kukurupuka hapo?
Zilinunuliwa kwa msaada wa benki ya Afrika!! Mnapotosha why? By the way JPM alipokea pia pesa za Covid 19 yaani alikataa chanjo akidai hakuna Covid 19 ila akakubali pesa za kupambana na covid 19!! Lile jamaa lilikua linafiki sana.Hapo tunadaiwa, no matter πππ
Tatizo hampendi facts chanjo zilikua zaidi ya 10, kwahiyo moja ikiondolewa sokoni tena nchi moja tu ya uingereza ndio inazifanya chanjo zingine 9 kuwa feki?Huyo jamaa huwa ana upumbavu mwingi sana
Duh π !Vipi ARVs unaonaje na zenyewe zikapingwa? Au hazina side effects? Chanjo ya manjano na homa ya ini hazina madhara? Chemotherapy vipi? MRI Scan haina side effects? Mbona hazipigwi marufuku?
Ni ujinga unakataa chanjo A huku unatumia chanjo B ambayo ina side effects kubwa zaidi!! Kama JPM tu alisema chanjo tuzipinge sababu wazungu hawatupendi ilihali alikua anatumia betri ya mzungu kusukuma moyo wake!!