Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

Bila JPM issue ya covid 19 Tanzania ingeacha misiba mingi sana
Mbona alikua anakataza wasitangaze data za waliokufa kwa Covid 19? Misiba ilikua mingi tu sema taarifa alikataza zisitangazwe kwa kigezo cha kutotisha watu kitu ambacho it's okay ila sio kwamba hawakufa watu.

Tafuta medical practitioner wowote wa Muhimbili sijui Bugando alafu muulize uhalisia atakupa.
 
Wiki mbili zilizopita Astrazeneca walikiri mahakamani possibility ya chanzo zao kusababisha damu kuganda
We kweli hamnazo, unajua maana ya possibility? Uwezekano means kuna fursa ndogo ya kitu kutokea mfano ukitumia condom kuna uwezekano ukapata VVU, hata kama ni 0.001 ila uwepo upo? Ndio maana chanjo zimetolewa zaidi ya 1B ila malalamiko ni chini ya 1%. Ni ujinga mtu kusema chanjo ni mbaya kisa watu elfu 2 kati ya watu 2 B waliopigwa chanjo kupata changamoto.
 
Tusilazimishane, nenda kachanje hata mara 100, Mimi na watoto wangu sichanji na US nilienda kipindi cha covid kwa cheti feki. Kila mtu aishi aonavyo. Nina ushahidi walichanjwa wakafa, nina ushahidi viongozi wetu hawakuchanjwa wala mwanajeshi yoyote sababu ya madhara ya chanjo. So, endelea kuamini unavyoamini. CASE CLOSED.
 
Du. Bado tu mnaota ule ujinga wa Magufuli na Gwajima? Gwajima alisema wazungu watapanga foleni kuomba viza za kuishi Tanzania kwa sababu wengi wataathirika na chanjo wawe ndondocha na watanzania pekee ndiyo watapona.
 
Ndio wapo kibao tu wanachanjwa in fact 81% ya wamarekani wamechanjwa, sasa huu uongo wako unatoa wapi?
View attachment 2996865
Ungana nao nenda kachanje na wewe. Naona nabishana na fala mmoja mwenye very low IQ, anayeamini kila mzungu asemacho. Hujazuiwa nenda kachanje Kuna Variants mpya zinakuja mwaka huu na mwakani. Tayari chanjo za variants za mwakani zimeshafanyiwa research ya miaka 10. Ngoja, nikuache na upimbi wako.
 
Kwani chanjo zilikuwa au ni lazima? Magufuli angesikiliza wataalam akakubali kuchanja pengine asingekufa kwa korona.
 
Kwa nini unataka kushawishi watu wasichanje wakati na wewe umeamua kwa uhuru kutochanja?
 
Kwani chanjo zilikuwa au ni lazima? Magufuli angesikiliza wataalam akakubali kuchanja pengine asingekufa kwa korona.
Ndo maana nazidi kuona watu wengi mna majina makubwa humu JF lakini nimegundua uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana. Kama unaamini Magufuli alikufa kwa Corona aidha ni mtoto mdogo au ni mkubwa lakini kichwa chako kimebeba kamasi badala ya ubongo. Inaonekana huna huna information zozote, sio za nchi yako wala za kidunia, au upeo wako(reasoning capacity) ni very LOW. Usiponielewa utakuwa umenidhibitishia hizo sifa nilizokupa hapa kuwa kweli. Natambua kuwa sio rahisi kunielewa kwasababu hiyohiyo ya hizo sifa nilizokupatia.
 
Wanasema unaweza kuipata corona lakini inakuwa ni mild 😅🙏
Mimi nilichanja !
 
Ama kwer huyu ni national Fwongaz kiooo cha wananchi watu wa Mungu tunayonnguvu kubwa katka kupinga mambo tusio na uwelewa Nayo
 
Kumbe wewe ni zezeta la mazezeta. Uwezo wako mdogo kweli kweli kama hujui hata rais wako alikufa kwa korona.
 
Kumbe wewe ni zezeta la mazezeta. Uwezo wako mdogo kweli kweli kama hujui hata rais wako alikufa kwa korona.
Nilijua huwezi kuelewa, hata mtoto mdogo wa form two mwenye akili average anajua JPM aliuawa hata threads zipo humu jamii forums. Ila kenge wenye upeo finyu hamkosekani hata serikalini sehemu nyeti wapo. Mkuu endelea kuamini unavyoamini na mimi niache niamini ninavyoamini. CASE CLOSED.
 
JPM angekuwa hai baada ya janga la covid19 ningekuja na hoja Kali sana dhidi ya hizo chanj upo.
Shida tuliyonayo watanzania ni kujifanya tunajua sana. Janga la covid19 limeondoka na watu tegemeo sana kwenye nchi hii. JPM mwenyewe alihamia kwao kujificha dhidi ya covid19.
Na wengi walioamini misimamo yake pengine hata kwa woga, waliyaona matokeo yake.
Pamoja na uwekezaji uliofanywa kwenye sekta ya afya, bado ninaamini hatuja wafikia hata jirani zetu hapo Kenya tu ambao kwa kiasi kikubwa hawakuwa na ujuaji wa kijinga kupingana na wataalam, wengi walipata chanjo na hatujasikia matokeo negative ya hizo chanjo.
Tumejaliwa kuongea sana, bahati mbaya hakuna cha maana tunachofanya kuonyesha tunazo hoja za kisayansi kusimamia hoja zetu. Panadol tu ya Kenya inatumika sana Tanzania kuliko tunazotengeneza hapa nchini pamoja na kuwa na bei ya chini.
HIV imeingia nchini miaka ya 1980, zaidi ya miaka 40, ni nini tumeweza angalau kupata chanjo ya ugonjwa huu ambao kwa kiasi kikubwa waathirika ni sisi nchi zinazojaribu kuendelea.
Bado tuna utegemezi wa kiasi kikubwa cha vifaa tiba na utaalam kutoka kwa tunaowaita mabeberu, pamoja na kujinasibu tumepiga kubwa kwenye afya kwa kuwa na vifaa tiba vya kisasa kutoka kwa hao mabeberu na wataalam waliosoma huko huko kwa mabeberu. Hebu tuwekeze kwenye kufanya vyetu wenyewe kwanza halafu ndio tuwe na uthubutu wa kuponda vya wengine.
 
Kumbe wewe ni zezeta la mazezeta. Uwezo wako mdogo kweli kweli kama hujui hata rais wako alikufa kwa korona.
Huna hata ndugu yeyote aliyepo serikalini au hata usalama wa taifa wa kuwa anakupa hints za kinachoendelea nchini!?,kumbe ndo maana bado watu wanapigwa style ya DECI, nilikuwa siamini kama kuna mtanzania mpaka leo hajui kama Magufuli aliuawa. Kumbe mpo wengi?!?
 
Mkuu mpango wa kumuua JPM ili kusingizia COVID ulisukwa kitaalamu, hata kwenda Chato aliambiwa na usalama Magogoni sio salama, hata kuwahi kurudi alilazimisha yeye.. Hivi mpo Tanzania hii kweli!?.., Kwahiyo kwa akili yako nyepesi Chato alikoenda hakukuwa na Corona!??!?.. Hivi bado Kuna mtanzania mpaka leo hajui kama Magufuli aliuawa!?..., Au ndo nyie wa lete ushahidi!?🤣
 
Apige na BOOSTER, Kama wale broiler walioachwa kutaga sababu ya uzee, akipigwa hiyo sindano, anarudi UPYA kutaga mayai.
 
Apige na BOOSTER, Kama wale broiler walioachwa kutaga sababu ya uzee, akipigwa hiyo sindano, anarudi UPYA kutaga mayai.
Kuna watu waweza kuwashangaa, smartphone na computer wanavyo, sijui shida ni bando!?, Taarifa zimejaa mtandaoni kuhusu kila kinachoendelea duniani, wazungu kibao wanalalamikia chanjo zilivyowaathiri na wengine wamepoteza ndugu zao na video zipo na takwimu zipo, na wengine wamefungua kesi mahakamani na wengine wameshinda kesi tayari. Bado kuna mafala wanakuja humu wana Imani na chanjo feki!!??😂😂, Ndo maana nimemwambia akachanjwe zote, na ajiandae kuchanjwa kuna Variants mpya itatoka mwakani na kabla haijatoka research yake tayari imeshafanyika miaka 10 iliyopita. Kama ana akili atanielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…