Biti la Trump limefanya kazi huko Gaza

Makosa vitani huwa yapo. Friendly fire huwa zinatokea.

So what’s your point?
My point umetupiga kamba kusema wanajua Mateka wote walipo, ni kauli mbili ambazo haziwezi exist kwa pamoja. Kwamba wanajua mateka wote walipo halafu wanaua mateka wao, unless wanawaua makusudi.
 
My point umetupiga kamba kusema wanajua Mateka wote walipo, ni kauli mbili ambazo haziwezi exist kwa pamoja. Kwamba wanajua mateka wote walipo halafu wanaua mateka wao, unless wanawaua makusudi.
Hakuna nilichodanganya.

Ni wewe tu huna comprehension.

Nimsema makosa hutokea. Friendly fire zipo.

Ndiyo, Israel kuna wakati ilifanya makosa na ikaua raia wake. Lakini si wote.

Kuna mateka ambao Israel ilikuwa inajua walipo. Na sikusemq inajua mateka wote walipo.

Ila kujua walipo na kuwakomboa wakiwa hai, si kitu rahisi.

Unaweza kwenda kuwakomboa wakaishia kuuliwa na Hamas na Hamas wakajiua wenyewe.

You have to move carefully and intelligently.

Kipi hapo ambacho huelewi!

 
Kusema kuna mateka Israel ilikua inajua na kusema Israel inajua mateka wote walipo ni vitu viwili tofauti unageuza tu maneno sasa hivi
 
Umeeleza vyema sana,tatizo watu humu hawajengi hoja badala yake wanaleta utoto na kujibishana kwa mihemko tu!
 
Kusema kuna mateka Israel ilikua inajua na kusema Israel inajua mateka wote walipo ni vitu viwili tofauti unageuza tu maneno sasa hivi
Wapi nimesema “Israel inajua mateka wote walipo”? Pray tell.
 
Like, are you serious? You can sit there and with a straight face claim that Hamas won?

Reeeaally? Causing unspeakable and unmitigated suffering is a win?

Okay 🤣.
Huyo uneyemjibu ni proHAMAS; ameshindwa kuchambua kwa kina kile kinachoendelea vita ya Gaza. Wapalestina raia hawaipendi kabisa HAMAS ila wanaishi nao kinafik tu kutokana na ile hali kwamba Usipojiweka upande wao utauawa au utapotezwa. HAMAS; kwa hatua iliyokuwa imewafika walikuwa hawana tena mbadala iliwabidi wakubaliane na ceasefire deal vinginevyo watamalizwa wote. Inashangaza sana kumsikia mtu anasema HAMAS wameshinda vita.
 
Hii mbinu Tu watu wale likizo ila bogi litaendelea
 
Umeulizwa swali lenye hoja we unaweka picha za Gaza kushambuliwa...
(i)Kama Hamas wameshindwa kwanini Israel ina negotiate na Hamas?

Gaza lazima ingeshambuliwa tu, Gaza ni mahala wanapoishi Hamas, je hayo majengo yaliyopigwa na Israel ndio askari wa Hamas hao? Kama hayo majengo ni askari basi ni kweli Israel imeshinda vita.

Israel ina uwezo wa kulipua Gaza yote hilo tunaelewa, wala haionyeshi nguvu za kijeshi za Israel, nchi yeyote yenye ndege vita hata South Africa au Egypt inaweza bomb Gaza yote ukabaki mchanga... hapo sioni hizo nguvu za Israel zio wapi na upekee wao kwenye medani.

Kupigana na kikundi cha migambo wanaoishi kieneo kama kiwilaya, hawana air defenses, hawana vifaru, hawana ndege vita, hawana silaha yeyote ya kutisha, mmezuia chakula kuingia, mmezuia maji, mmezuia matibabu, mmepiga minara ya mawasiliano, lakini bado unashindwa komboa mateka wako hadi unakubali makubaliano bado utajiita mbabe?
 
Umeandika la maana sana Hamas/wapalestina walikuwa wakiwatumia mateka kama ngao na hilo ndo tatizo ambalo Israel lilimsumbua sana na hilo lipo sana kwenye jamii ya hao watu.
Osama wakati anauwawa katika kupambana alitumia wanafamilia yake kama ngao ili asiuwawe.
Katika hii vita wapalestina na Iran ni big malooser
Na ndiyo maana mataifa mengine ya kiarabu kama Egypt, Jordan, Saudia na wengine upuuzi wa kupigana na Israel walishakataa kama Egypt ndo kabisaa kwa kipondo anakipataga miaka na miaka hana hamu na myahudi maana ana historia naye mbaya tena sana tokea enzi ya Musa, na hata alipokusanya waarabu wenzake aliishia kupigwa mpaka kiongozi wao akafa kwa kihoro na mshtuko wa moyo maana hakuamini kilichokuwa kinatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…