Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo[emoji3]Sawa kabisa ila wataalam wa hizo gari wanasema ili hudumu na hiyo gari kwa muda fulani inapaswa isiwe na route ndefu au league kama zile anavofanya Ally's na yule katarama au Golden Deere na Sauli.
Kwa kifupi angalia huyo Ally's na Golden kila baada ya miezi fulani wanaangiza gari mpya hadi Ally's kachoka kupuliza rangi ya body za gari zake.
Masikini wewe,tafuta hela fukara wewe4am siyo saa 4, tafuta std 7 akufundishe hayo masaa.
Ndugu yangu masaa yanabadilka kuanzia saa 6 hivyo wpo sahh hiyo ni asubuhi,pole xna Kwa kukosa elimu,usjali bado hujachelewaMna vichwa vibovu sana 04:00 AM ni saa nne asubuhi?
Usiniite ndugu maana sina ndigu kinyaa na kilaza kama wewe, Hapo unajiona una akili sio? Hii nchi ina wanyama tena wa hovyo sana. Kwahiyo 04:00 AM ni saa nne asubuhi kwa akili yako?Ndugu yangu masaa yanabadilka kuanzia saa 6 hivyo wpo sahh hiyo ni asubuhi,pole xna Kwa kukosa elimu,usjali bado hujachelewa
Bado unajionesha jinsi gani ulivyo mnyama... bado shida ipo pale pale vyovyote iwavyo 04:00 AM inaweza kuwa saa nne?Makalio yako ppunda ww,wap nimeandika ni asubui!? Mi nimeuliza kwa mleta hoja
Usiniite ndugu maana sina ndigu kinyaa na kilaza kama wewe, Hapo unajiona una akili sio? Hii nchi ina wanyama tena wa hovyo sana. Kwahiyo 04:00 AM ni saa nne asubuhi kwa akili yako?
Angeenda Kanda ya Ziwa aone Katarama (SCANIA) inavyokalishwa na Ally's (GOLDEN DRAGON) na Happy Nations (HIGER)Hata basi za kichina zinaweza kwenda na kurudi.
Hilo ni jibu sio swali.Kama gari zinazuiwa saa sita usiku, na kuruhusiwa saa kumi alfajiri,
Tofauti yake ni masaa manne, kutoka saa sita mpaka saa kumi,
Swali langu ni, je mamlaka zindhani haya masaa manne ndio muda wa ajali na majambazi, ndio maana wanazuia kusafiri masaa 24?
Kanda ya ziwa walishaanza kitambo tu fuatiliaMajuzi kati hapo wasimamizi wa usafiri wa nchi kavu na majini Latra walitoa taarifa za kuruhusu mabasi kusafiri kuanzia saa 9 usiku👇🏾.
LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku
Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu. Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu. Mamlaka ya usafiri ya udhibiti...www.jamiiforums.com
Hadi kufika leo naona kampuni moja ya kuelekea Arusha ambayo ni BM Coach imetoa tangazo 👇🏾.
View attachment 2641312
Kanda ya Ziwa walianza kama mwezi hivi umepita.Kanda ya ziwa walishaanza kitambo tu fuatilia
Ila kama ni mnazi wa BM umekuja kuleta tangazo tunaomba ulipie tangazo lako
Acha maneno mengi wewe, Katarama na Scania zake kule kanda ya Ziwa anakalishwa na Mchina vizuri tu tena Golden Dragon, Higer na Asia StarSawa kabisa ila wataalam wa hizo gari wanasema ili hudumu na hiyo gari kwa muda fulani inapaswa isiwe na route ndefu au league kama zile anavofanya Ally's na yule katarama au Golden Deere na Sauli.
Kwa kifupi angalia huyo Ally's na Golden kila baada ya miezi fulani wanaangiza gari mpya hadi Ally's kachoka kupuliza rangi ya body za gari zake.
Mkuu pole sana asee, bahati mbaya mimi siyo mnazi alafu rudia niliyoandika kuhusu mchina na Scania.Acha maneno mengi wewe, Katarama na Scania zake kule kanda ya Ziwa anakalishwa na Mchina vizuri tu tena Golden Dragon, Higer na Asia Star
Piga picha angekuwa anashindana na Zhong Tong au Yutong
Ally's ana hela na ana routes nyingi huwezi kumfananisha na huyo Katarama hivyo kuingiza basi mpya kawaida
Si mlikuwa mnatamba Mchina majiko hayachelewi kuungua, mnakalishwa sasa hivi mmeanza maneno tulieni dawa iwaingie
Halafu wanazi tulishakubaliana ukipigwa gap kausha mwaga moto
Nenda kaulizie Magufuli stand mkuu☝🏾Basi gani hizo mkuu, zinazoondoka saa 10 alfajiri huko lake zone?
☝🏾Hapana na sijawahi kuwa upande huo.
Happy national kutoka Dar - mwanza na bukoba.[emoji1489]Basi gani hizo mkuu, zinazoondoka saa 10 alfajiri huko lake zone?
[emoji1489]Hapana na sijawahi kuwa upande huo.
Hayo unayoshabikia madhara yake ni ajali.Angeenda Kanda ya Ziwa aone Katarama (SCANIA) inavyokalishwa na Ally's (GOLDEN DRAGON) na Happy Nations (HIGER)
Madavoo wa Mchina wanakichafua hatari ngoma zinachomoka spidi kama ya hypersonic missile
Watu wanamchukulia poa Mchina hapo hatujamzungumzia climber ZHONG TONG akaulize mziki wa New Force nyanda za juu Kusini