Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashine nzuri inayopima gari za 2012 plus ni ipi?Hii unaenda kutumia kwenye gari gani? Si ujipinde tu utafute mashine nzuri? Hii gari za kijapani before 2008 haipimi sasa si mateso hayo.
Hahahah hio imeruka tu lazma itatulia kwenye 3 kwa hio speed. Akifika 180KPH ndio itakuwa around 5 hapo.
Wadau, nipeni elimu ya Premio. Sina utalaam na magari..ila soon Nataka kuchukua hii kitu.Mjapani ukiwa na 200k unafanya service saafi kabisa hadi Tie rod end na rack end (used) unabadilisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa njoo kwa Mzungu oil pekee 150k+ hapo hujagusa filter, hydraulic, brakepads, Sparkcoils, airfilter Nk.
Ukimaliza hapo fundi amekaa paleee ana kimashine cha POS [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au Lipa namba anakusubiri umalize kutest gari[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu usijiulize mara mbili ila angalia na CC kuna za 1780 hadi za 2000+ Extrovert njoo toa ufafanuziWadau, nipeni elimu ya Premio. Sina utalaam na magari..ila soon Nataka kuchukua hii kitu.
Pamoja sana mtalaam....ngoja wadau waje wafafanue hapo kwenye CC...Mkuu usijiulize mara mbili ila angalia na CC kuna za 1780 hadi za 2000+ Extrovert njoo toa ufafanuzi
Premio kuna zenye alama X, F & G hizi alama zina maana zake so peruzi Google ujue ipi itakufaa kwa matumizi yako.Pamoja sana mtalaam....ngoja wadau waje wafafanue hapo kwenye CC...
Ok shukrani mtalaam...ngoja nifanye hivyooPrimio kuna zenye alama X, F, G hizi alama zina maana zake so peruzi Google ujue ipi itakufaa kwa matumizi yako.
Ok shukrani mtalaam...ngoja nifanye hivyoo
Sasa hiyo rpm wese inakuaje hapo 😀Hahahah hio imeruka tu lazma itatulia kwenye 3 kwa hio speed. Akifika 180KPH ndio itakuwa around 5 hapo.
Hii inatatizo la kutobadilisha Gear, angalia level ya Hydraulic au imepungua viscosity so badilisha au gearbox ishazingua
Unapigwa unachakaaSasa hiyo rpm wese inakuaje hapo 😀
ya bei gani?Mashine nzuri inayopima gari za 2012 plus ni ipi?
Na hiyo ni budget ya passo, hapo ukipanda tu ukamiliki crown kwa km hizo lazima uwe na 20k deile ya wese.Kuna muda unaacha gari nyumbani sio kwamba unapendaa[emoji28][emoji28][emoji28] kutembea na gari unachungulia mshalee na foleni za dar ni undezii.. kumaintain gari sio kazi ndogoo ukinunua kwa ajili ya kwenda nalo kazini labda kama karibu ila more than 20km bhasi andaa si chini ya 10k ya mafuta daily.
Mkuu nikihitaji Passo niandae kilo ngapi?Hahahah ni swala la muda tu 🤣
Passo andaa 65 mkuu au 6.5M huku IST ni 115 au 11.5MMkuu nikihitaji Passo niandae kilo ngapi?
Na IST je?
Afu kwa.sisi wa bush gari gani linaendana na haya mazingira?