BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

Altezaa mnaendesha gari kama mnashindana muda woteee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkifunga na yale maturbo yenuuu eehe andaa hela za mafutaa mkuu..
Screenshot_20230624-231604_YouTube.jpg

Extrovert rikiboy angalieni rpm halafu angalieni na wese 😀
 
Bado napata shida sana kuwaamini mafundi wetu, kwani sio gari za ulaya tu kwao tatizo, hata ukitaka kununua Xtrail unakutana na hadithi hizo hizo, yaani gari hapa ni Toyota tuu! lazima tukubali tunahitaji kubadilika na kuachana na mafundi uchwara, fundi ambaye hakubali kubadilika kwendana na teknologia tumkimbie kama ukoma!
mwaka 1998 niliagiza Mercedec 190 C ilipofika nilichekwa sana na mafundi, lakini gari nilitumia zaidi ya miaka kumi bila changamoto kubwa, sasa tatizo liko wapi?
Kwa kweli nimesoma maelezo ya Jitumiraba4 nimemwelewa vizuri sana, na kwa kweli sasa natamani kuagiza Volvo XC 90 ambayo miaka karibia mitatu naiwaza! naomba ushauri hapo pia!
 
Mjapani ukiwa na 200k unafanya service saafi kabisa hadi Tie rod end na rack end (used) unabadilisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa njoo kwa Mzungu oil pekee 150k+ hapo hujagusa filter, hydraulic, brakepads, Sparkcoils, airfilter Nk.

Ukimaliza hapo fundi amekaa paleee ana kimashine cha POS [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au Lipa namba anakusubiri umalize kutest gari[emoji23][emoji23][emoji23]
Wadau, nipeni elimu ya Premio. Sina utalaam na magari..ila soon Nataka kuchukua hii kitu.
 
Kuna muda unaacha gari nyumbani sio kwamba unapendaa[emoji28][emoji28][emoji28] kutembea na gari unachungulia mshalee na foleni za dar ni undezii.. kumaintain gari sio kazi ndogoo ukinunua kwa ajili ya kwenda nalo kazini labda kama karibu ila more than 20km bhasi andaa si chini ya 10k ya mafuta daily.
Na hiyo ni budget ya passo, hapo ukipanda tu ukamiliki crown kwa km hizo lazima uwe na 20k deile ya wese.
 
vinginevyo siku moja utakuja kuiacha gereji mazima
 

Attachments

  • FB_IMG_1690293073076.jpg
    FB_IMG_1690293073076.jpg
    40 KB · Views: 10
Back
Top Bottom