Bodaboda wanatuchunguza na kutujadili sana. Be warned

Ofcz boda boda wana habar zetu nying sana na pia wanatujua sana. Maana unatoka kwenda mzigon, wao wanakuchek wako kijiwe..unarud wanakuchek tu.. wife anatoka anatud wanamuona. Madogo wanaenda shule wana rud wanawaona tu na sometimes ndio hao hao unawatumia kwenye moja na mbili binafs na za kifamilia.

Actually mimi kuna bida boda ambao nawajua na nimekua nikiwatumia na wananifaham toka nafika eneo naloishi.. Naanza life la kupanga chumba ki1 wananiona, nahamia chumba sebule wananiona.. navuta jiko wako bado na mishe zao za boda.. mwanagu anaanza shule wanamuona..nahamia kupanga nyumba nzima tuko nao ... mpaka nahamia kwangu wako wananiona..moaka dogo kamaliza primary anaingia secondary wako tuu..almost 12 years wako na kaz zao hizo hizo..

sasa watu kama hawa ni kwel usipoKua na mipaka yako binafsi na family utajikuta wanakujua nje ndani
 
Hakuna watu wambea na wasengenyaji km boda boda, yaan hawafai hata mashoga wana afadhari.

Sijui wamekuwaje hata, mfyuuuuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kwa sababu wanakaa muda mwingi wanapiga stori.
 
Umenikumbusha Ile kauli ya LUMUMBA BUKU SITA, UFIPA BUKU SITA!
pole sana mkuu
 
Ila boda wazuri sana ukikwama na baridi ugenini, ukiwaomba wanakujuza wapi dada poa wanapatikana.....hata wanaojiuza majumbani wao wanawajua.
 
Dar kumejaa wanaume wambea wambea yaan ukikutwa kijiwe Dar popote jua wajinga wanasogoa umbea yaan ni umbea kwa kwenda mbele wanawake hawakai vibarazani siku hizi kupiga umbea Ila umbea umehamia kwa wanaume aibu sana wanaume kutwa wanapiga umbea tu kijiweni unauma sana bodaboda wakikosa abiria kifuatacho ni umbea tu yaan ni umbea kwa kwenda mbele akipita mtu tu wanaanza kumfungulia topic
 
Aisee! Kwanza nilishangaa kilichomuwasha kuanza kumsimulia mamsapu wangu mambo ya kiume kwa jinsia KE.
Ni kwa sababu huyo bodaboda ana mahesabu na kumla my wako, so hayo majungu ni maandalizi tuu mkuu..
 
Huyo boda hana maadili na kazi yake. Wenzake wanaweza kuwa wanajua siri zenu lakini hawathubutu kutoa siri, wanajali pesa tu.
Yaani anamjua mtu anayemgonga demu wako na anapajua hadi anapokaa lakini siri yake.
Maadili kwa bodaboda?!!!
Sahau!
Hawa watu wanakuchuuza mchana kweupe!
 
Reactions: ywf
ili tusiwachunguze msipande bodaboda zetu, kodi(ni) texi tu..
 
Umechelewa kujua tu wewe..hizo survival skills za kawaida sana.
 
Yaan unashabikia umbea kwa mkeo[emoji848]
 
Hawa jamaa wapumbavu sana
 
Kuna boda boda aliahidiwa elf 50 na ex wife anichunguze nipo na mwanamke gani na huwa anakuja home kipindi gani? Dogo akanitonya. Siku walipofanya kikao hicho dogo ananiambia alipigwa breakfast ya nguvu.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…