Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Ofcz boda boda wana habar zetu nying sana na pia wanatujua sana. Maana unatoka kwenda mzigon, wao wanakuchek wako kijiwe..unarud wanakuchek tu.. wife anatoka anatud wanamuona. Madogo wanaenda shule wana rud wanawaona tu na sometimes ndio hao hao unawatumia kwenye moja na mbili binafs na za kifamilia.
Actually mimi kuna bida boda ambao nawajua na nimekua nikiwatumia na wananifaham toka nafika eneo naloishi.. Naanza life la kupanga chumba ki1 wananiona, nahamia chumba sebule wananiona.. navuta jiko wako bado na mishe zao za boda.. mwanagu anaanza shule wanamuona..nahamia kupanga nyumba nzima tuko nao ... mpaka nahamia kwangu wako wananiona..moaka dogo kamaliza primary anaingia secondary wako tuu..almost 12 years wako na kaz zao hizo hizo..
sasa watu kama hawa ni kwel usipoKua na mipaka yako binafsi na family utajikuta wanakujua nje ndani