Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mwarabu kamwaga pesa.Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.
CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
Hawa ccm wanauza nchi ili wanunue bodaboda?Mwarabu kamwaga pesa.
Tutaona na kusikia mengi mwaka huu
ShangaaHawa ccm wanauza nchi ili wanunue bodada?
Dah hawa jamaa wanatumia nguvu nyingi sana kumnadiKampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.
CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
😂Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza, msaliti ni msaliti tu, wacha waendelee kumtangaza ajulikane Tanganyika yote.
Huyu mama ni mharibifu wa raslimali za Taifa.Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.
CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
😅😅Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza, msaliti ni msaliti tu, wacha waendelee kumtangaza ajulikane Tanganyika yote.
Ccm ni ccm tu. nje ya maslahi hakuna ccmNadhani kuna mchezo unachezwa ndio wakati Ule mzee Mwinyi Ruksa akasema " maji yamekorogeka unaweka Picha za nini?"
Mama awe makini na Siasa za CCM Maslahi!
Mtazitapika mwaka huu, pesa ya mwarabu haiendi bure. Si umeona ya Loliondo?Kila la Kheri Rais makini, Rais Mtulivu Dr Samia Suluhu Hassan
moja ya sifa kuu ya Kiongozi ni kutokuwa mkurupukaji na hilo amejaaliwa Rais wetu
Hawa ccm wanauza nchi ili wanunue bodada?