Bodaboda za CCM zenye "chata" ya Samia ziko mtaani


Kitu cha kijani

Hizi ni kwa mtanzania yoyote atakayekidhi vigezo
 
DP World washafanya yao
 
Chadema wakiweka picha ya Lissu polisi watakurupuka usiku wa manane na bukta wakiita press conference kupiga marufuku.

Hebu waweke tuone kama polisi watakurupuka
 
Hizi siyo za makatibu Kata kweli wa CCM na makatibu ya Umoja wa Wazazi!!?
 

Ndio ameanzia huko, hata wewe atakushika tuu
Maendeleo hayana vyama
 
Kila la Kheri Rais makini, Rais Mtulivu Dr Samia Suluhu Hassan

moja ya sifa kuu ya Kiongozi ni kutokuwa mkurupukaji na hilo amejaaliwa Rais wetu
Mwendazake alikua mkurupukaji??
Naomba jibu Mzee wangu najua wewe ni mtu mzima sana
 
Alikozaliwa mama hawautaki muungano yeye yuko bara anataka Urais
Ndiyo maana katiba mpya hadi baada ya uchaguzi 2025. Hakuna mtu anayependa kujikaanga kwa mafuta yake. Ili kwamba akipata baada ya hapo ndipo aweke mizani sawa. Jamani ni mawazo yangu tu.
 
Hizi bodaboda zimeletwa na mwarabu kama kishika uchumba cha bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…