Bodi ya Nyama yasema Polisi waliteketeza nyama yote iliyokamatwa ila miguu ilichelewa kuungua ndio maana Meya wa Jiji aliikuta

Bodi imesema nyama ilikuwa haifai kwa matumizi ya binadamu!
Je,Polisi waliotumia hicho Kitoweo,sio binadamu?Boresheni maisha ya askari wetu ,badala ya kuacha wanadhalilika kwa kula vibudu!
 
Nitawaamini Fisi kuliko Polisi kwenye hii Nyama
 
hhahaha embu madam aanze kaz araka lbd mambo aya yataisha
 
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
 
Hivi polisi wana hiyo mamlaka?
Hivi utaratibu wa desposal ukoje? Najua inge teketezwa kwenye insenerator. Na sio kwa makaratasi.
incenerator hazipo kila mahali, kwa utaratibu polisi kazi yao Ni kusimamia tu Ila uteketezaji unafanywa na hao wahusika wenyewe waliokamata nyama.
 
pia hakuna sheria au taratibu inayosema lazima mfanyabiashara awepo wakat wa uchomaji
 
Huyu jamaa wa bodi ya Nyuma hafai anataka kufanganya Kama sisi Ni watoto. Uchome ng'ombe mzima na karatasi. Aache ujinga. Hii mbuzi ipingwe chini irudi kijiweni nkutafuta maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…